The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,573
- 16,876
Mnatumia matako kufikiriSafari ya simba caf cc ndiyo mwisho wake leo.
Siku kumi zijazo jamaa wa CAS nao wanamshusha simba daraja akacheze league 1 huko na mbagala market.
Mnatumia matako kufikiriSafari ya simba caf cc ndiyo mwisho wake leo.
Siku kumi zijazo jamaa wa CAS nao wanamshusha simba daraja akacheze league 1 huko na mbagala market.
TUliuziwa mbuzi kwenye gunia lile ni bomu tu hamna kitu paleNdugu wewe acha kamdomo
Nlisema mimi watu wakaleta ushabiki maandazi. Chama umri wake halisi ni mkubwa kuliko hata inaosoma. Ameshachoka alikuwa anataka aje yanga kupiga pesa tu za kustaafu.Huu ni kati ya usajili wa hasara kwa Yanga.
Wametumia mamilioni kama ada ya usajili na mamilioni kadhaa ya mishahara lakini hana mchango wa maana kwa timu.
Ni gambling ambayo haina faida kwa Yanga na pia mchezaji mwenyewe.
Huoni Hersi alichomfanyia Manara?. Anawahamisha halafu anawadhalilisha anajua hawawezi kurudi maana wameshanyea kambi walikotoka😂😂Kinachompata huko na wale wapuuzi wenzake BALEKE na MKUDE kiLnastahili kabisa. Msaliti huwa haaminiwi hata na aliyemtuma kufanya usaliti.
Hersi aendelee kuwanyoosha hapo pimbi. Na hatutaki warudi tena Simba.Huoni Hersi alichomfanyia Manara?. Anawahamisha halafu anawadhalilisha anajua hawawezi kurudi maana wameshanyea kambi walikotoka😂😂