Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Hivi una akili nzuri?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Uliwahi kupata hitilafu yoyote kwenye mshipa wowote unaopeleka damu kwenye ubongo wako?
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Hii mtatuonea bure Arusha...HATUJAKUUZIA ,utakuwa umeipata Njombe huko
 
Mmeshaanza kutupanga mapema kabisa yale ya Malechela naona yanajirudia Mzee jumanne.
Yani mimi nipigie kura Ccm nimerogwa?

Hivi kama tumekosa watu wa kuwapa Urais si bora tugawane nchi tu tuongozwe na machifu wetu kama zamani, hivi watu wahuni kama huyu January Makamba wanapata wapi ujasiri wa kuthubutu tu kuwaza Urais?

Ccm mnatudharau sana Watanzania ila mwisho wenu umefika.
 
Back
Top Bottom