daaaaaaahMkuu Mimi mwenyewe kuna Mtu wao kabisa anayeratibu shughuli zao zote alinihakikishia kabisa kuwa ' Jamaa ' ni totally ' mwendo '. Siku hizi nikiona tu Mziki wake unapigwa katika Luninga na nikumbukuka kuwa ni ' mwendo ' huwa natamani hata kulia.
Na Jamaa hakuishia tu hapo alinitajia na Wasanii wa Kiume Watatu ambao ni ' mwendo ' kabisa tena hadi na ' Basha ' wao anaowaharibu ambaye ni Pedeshee mmoja hivi ambaye jina lake la kusifiwa la mwisho ni la Mkoa aliotokea Hayati 1999. Wasanii wenyewe ambao huyo Jamaa ' mratibu ' wao alinitajia na kunihakikishia kuwa japo na Wao wana Wapenzi na Wake zao ila wote ni ' mwendo ' ni 1. Kashata, Kasheta, Kashitu, Kashoto na Kashutu ( tuliza akili yako kwa umakini hapo utamjua ), 2. Tafuta a.k.a ya Team ya Chelsea ya Uingereza utamjua, 3. Babu yake alifariki mwaka jana maeneo ya Mbezi Beach ' ushuani ' na mpaka sasa ana Mtaa wake ' maarufu ' sana huko na kibao chake kipya sasa hivi kina hit kweli airwaves za Tanzania huku akimshirikisha Mpenziwe Shilole aitwaye ' Hamu na nazi '. Vijana hao ' wamejiaibisha ' mno Mkuu.
Ua ridi lilimfanya hata Baba Kayla aandamwe na manukato kila aendako!ujue ommy zamani alikaa karibu na uwaridi..
ndio maana akanukia
sasa sijui yuko team gani lazima apotee...
kabla alikua na chibu ,alifanikiwa sana!!!
saivi naona ana maskendo tu ya upunga
daaaaaaah
Baadae..mkuu siwezi kumsikiliza dimpoz.. namfahamu kitambo sana na uwezo wake naujua toka yupo kwa T.I.D top band.. au nitajie hit song tano alizotoa akiwa amesimama peke yake.. jibu ni hakuna.....sio mbaya endelea kumkubali mkuu..
Tatizo ccm tu.Wanaukumbi kwema,
Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza kabisa Diamond.
Ikumbukwe Ommy Dimpoz alianza vizuri kwa kutoa vibao matata kama Nainai, Baadae, Tupogo na Ndangushima. Baada ya hapo ametoa nyimbo zilizoshindwa kutamba kabisa...mfano mzuri ni Wanjera. Kwasasa dimpoz amepotea na kafunikwa na vijana wadogo akina Rayvan na Harmonize, Je ni nini kimemsibu staa huyu aliyekuwa anafananishwa na Diamond kwa uwezo wake Kimuziki?
Una uhakika na uthibitisho lakini?punga
linaonekana kabisa
Nakuunga mkono kabisa. Wabongo kwa kuwatungia watu uongo hawajambo aisee.Kama hujasingiziwa wewe ni shoga au unatembea na mke/mume wa mtu au unauza unga au una ukimwi au vyote jua Bado huna jina au pesa au vyote.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]uwongo
Hahahahahaha noma sana...alikataa kujiunga WCB mond akamuwekea vikwazo vya kutoka kimuziki
Analelewa na nani mkuuhuyu kwa sasa hana management zaman alikuwa na mubenga na akazinguana naye saa hz kila mtu kivyake hapo majanga yakaanza ila sasa anaonesha tu nyumba ambayo analelewa humo
Hivi ni kweli?Mtoto wa watu
duuhmichezo mibaya anayofanyiwa inampa hela za kutosha hahitaji tena mziki
roho mbaya na chuki ushawah mvuliaa huo mchpi wako akashindwa kukufanyaaa acheni kuhisipunga
linaonekana kabisa
mimi niliwahi kudate naeroho mbaya na chuki ushawah mvuliaa huo mchpi wako akashindwa kukufanyaaa acheni kuhisi
hahaha take a several seat my dear seems like upo kwenye hewa nzito and u need a fresh air ikuzinduwe ulipo otherwise acha kupaka upepo rangimimi niliwahi kudate nae
akanishindwa...
any question.....____?
sijawahi kubishana[emoji119][emoji119]hahaha take a several seat my dear seems like upo kwenye hewa nzito and u need a fresh air ikuzinduwe ulipo otherwise acha kupaka upepo rangi
case closedsijawahi kubishana[emoji119][emoji119]
Papuchi yako inanukamimi niliwahi kudate nae
akanishindwa...
any question.....____?
wapili nimepotea nisaidie me sijui aka ya chelseaMbona huyo wa tatu ( 3 ) ndiyo nadhani ' mwepesi ' kujulikana kuliko hata hao wengine Mkuu? Okay unajua wimbo mmoja hivi wa Kandabongoman ambao ulijizolea ' umaarufu ' sana wa ' Indemonie? ' Jiongeze na hapo sasa Mkuu na kama bado hujamjua basi namalizia kwa kukupa maelekezo haya mafupi tu ukiyapatia nadhani utakuwa umeshamjua. Hebu rekebisha hili neno la ' Skies ' kisha angalia ni herufi gani kati ya hizi labda unaweza kuiweka ndani ya hilo neno na herufi zenyewe ni x,y na z. Nakutakia mafanikio mema katika kumjua Mkuu.