Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usikuNa wengi wanaoanzisha hizi Bars na Pubs za mchipuko sio watu wa Biashara hizo. Unakuta mtu Afisa Ugavi huko kakwalua pesa ofisini hajui hata afanye nini anaemda kufungua Bar au Club sasa tatizo linakuja kwenye Management ambayo inahitaji wajuzi wa kazi hizo sio wababaishaji.
**** Sehemu Bongo zinaanzishwa lkn ukiziona tu unajua hazimalizi hata miaka miwili lazima zife.
Ukiona watu kama SamakiSamaki wanamaintain siyo kazi ndogo.
Kwetu pazuri imekuwa ya kawaida mno ingawa bado ipo lakini haina amsha amshaHivi kwetu pazuri iliishiaga wapi , wahuni walihama pale
Mpaka kuna chemba ya mashoga ukijichanganya ukakaa bila kujua lazima wakutongozeTatizo la kitambaa cheupe kuna wahuni wengi wanaleta usela kwenye starehe.
Tupo kidimbwiKwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.
Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?
Umeona Sasa..yaani management ya hizi sehemu ni shughuli pevu. Lazima.management ijue kucheza na wateja.Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usiku
Yani kwa kifupi ku maintain status ya biashara ni jambo zito mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama totozi za chuo hakuna, anadhani nan anaenda?Kila nikikumbuka ile misululu ya magari parking mpaka karibu na barabarani.
Nakumbuka tena Moet na Hennessy zinavyoshushwa.
Nataman nikuamini wale ni wanafunzi ila nafsi inakataa.
Alafu situation iliyopo ukifika ni tofauti na unachoeleza. Tatizo sio wateja wamekata ila ni kama huduma zimesitishwa.
Mwenyewe yupi huyo? Anayeshika kichwa wenzake anakaa salasalaMbona nimesikia mwenye nayo alikimbia nchi kuna tukio alifanya kukwepa mkono ikabidi atoroke .
Imekufa? Dah!Kwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.
Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?
hapana mkuu sikumuita kwa nia mbayaHizi DM baadae wadada wanalia wametapeliwa na watu maarufu humu
Dance club ndo iko pale mwenge kabla ya ile hospital ya jeshi ukiwa unatokea ubungo mkono wa kushoto??Ibungi Mabibo ni mwendo wa kukesha; Dance Club mwenge Mpakani kaja kumuua Calabash rasmi. Kila mtu atumie Nafasi yake vzr
Hii woodland ndo ile iko masaki mkuu?Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usiku
Yani kwa kifupi ku maintain status ya biashara ni jambo zito mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee watakuwa wanahitaji mwanafamilia mwingine afanywe lizombieMasharti ya mganga...!
Hapana. Hii ni ya hapa MoshiHii woodland ndo ile iko masaki mkuu?
Oh ok