Unazungumzia Niffer.Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.
Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.
Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.
Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.
Nilicho onywa na wenye mamlaka, tukosoe japo inauma; lakini usitutukane viongozi. Na hao watu baadae baadhi yao nimekutana nao ana kwa ana.
Sasa najiuliza watu wale, walinzi wa chama waliokuwa na patient ya kutoa onyo kwa vijana wapo wapi leo.
Kale ka _Niffer kweli ni kakukipa kesi ya uhaini, miaka yake yeye sisi tulikuwa tunaonywa.
Matusi yangu ya leo ni mtu mzima najua risk ninazochukua.
But what happened na ile serikali ya malezi iliyoturekebisha sisi namna ya kuikosoa serikali tuwe vijana wema.
Kale ka Niffer kweli ni kaahini kama kangekuwa katoto kako au kamefanya makosa.
Let’s not make a mistake Niffer ningeweza kumzaa, so is Mangę ni age ya mtoto wake wa kwanza.
Don’t punish that little girl, have mercy; ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.
What happened ni ile serikali iliyokuwa inatuonya kwanza usiende huko.
Wameokota vitoto Tiktok wamevipa kesi za uhaini.Hata haka nako eti ni kahaini. Roho imeniuma kweli nilipokaona. Nadhani nitakaoa haka kama hawatakanyonga. Ila Samia jamani kha!
View attachment 3499741
Mkuu umenitisha hapa!! Do you mean privacy ni ndogo humu?We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina @Maxence Melo wenyewe.
Maximize your font size mkuu...
Hili ukilisema waziwazi kidogo hapo hujaeleweka kiongozi umesema kwamba wanawaelekezea bunduki na risasi watu ambao sio viongozi sio vigogo au hawana value yoyote humu JF ndio umemaanisha hivyo? Maana yako sio salama kwa watu wengine isipokua vigogo na viongozi?
Na ndio walioiba uchaguzi na kumpa ushindi samuya kwa 98℅ na bado wakawapiga risasi na kuua watanganyika maelfu kidumu chama cha mapinduziwanachadema wamekua wakionyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kipindi hiki isivyo kawaida
Sio LAZIMA utuonyeshe kiwango Cha upambavu ulichonacho,Ka Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.
Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.
Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.
Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.
ni shidooooo! kwa kweli!Wanasema kacheza mziki wa Nywinywinywi hivyo huo ni uhaini.
Ndugu kuweka records sawasawa, hebu tafuta arguments za huyu mtu juu ya kupigwa risasi Tundu Lissu.Uongo.
Jamvi hili, lililoanzishwa 2006, halikuwepo wakati Niffer anavaa diapers. Niffer is way older than this jamvi. Hujatoa comments hapa wakati Niffer anavaa diapers.
Kwa hiyo unajiongelea tu mambo yasiyo na ukweli ili kujifurahisha tu. Hupaswi kuchukuliwa seriousIly.
Kama matusi ni mabaya basi iwe hivyo kwa kila raia, sio kwa viongozi tu. Hapaswi mtu yeyote kutukanwa. Acha kumbananga na kumtindigana Niffer. You can't tie her shoes.
Eti mara ya kwanza aonywe. Halafu mara ya pili iweje, apigwe mawe ? Logic zako mbovu.
...Nyerere hakuwa chadema ila alivaa gwanda za kaki sometimes ..Kua chadema sio uasi au uhaini.
Mtu ambae hakufanya vizuri kwenye elimu yake ya ordinary level..usimtegemee akafanya makubwa akipewa dhamana kubwa kubwa kuliko uwezo wake wa uelewa na ufahamu.
Kama TAIFA tumerudi nyuma kama tupo Karne ya 16 kwanini tumefika tulipo tuanzie hapo.
Kama TAIFA tumekubari akili ndogo itawale akili kubwa hii haikubariki kwa watu wote wanao itakia mema nchi yetu ya tanzania
Tuweke picha za walio fariki kwa kutofikiwa na madaktari wakati wa lock down na machafuko?!
Mzee wangu mwenyewe almanusra atutoke sababu ya lock down na machafuko huko mkoani unadhani hili jambo halitengenezi chuki na uasi moyoni mwa watu??!
Tafakarii
...again Niffer hayuko pekeyake.. Anashtakiwa na wenzake 80+ Kwa makosa ambayo ushahidi wake unatia shaka.
Unejiunga jf 2021 kisha unasema umeanza kucomment Niffer akiwa anavaa dipers! Halafu unasema ulionywa uache kutukana, ulionywa na nani boss wakati kila siku watu wanaikosoa hiyo serekali ya majizi na hawajawahi kuonywa? Labda kama ulikuwa unakosoa kwa jina lako halisi, kitu ambacho si kweli.Kama umesoma mada yangu, sisi tulikuwa tunaonywa kwanza tukivuka mipaka mara ya kwanza; katika umri wetu.
Mimi nimeanza ku-comment JF Nifffer akiwa anavya diapers. Na nilipewa huruma ya ujinga, kupitia maonyo acha matusi tutakuumiza.
Kosoa usitukane.
Leo hii binafsi nina haki ya kupambana na mafisadi kwa sababu nina akili timamu ya ugomvi ninao nunua na haya majizi, sio tena ule.
Sasa haka ka Niffer nakaona kama mimi ambae CCM na vyombo vya usalama wa wakati ule.
Ambao walikuwa wanatuonya kwanza.
Unajua hako ka Niffer pamoja na umaarufu wake ni katoto ambacho sidhani kama kamefikisha hata miaka.
Niffer ni mtoto mdogo sana, pamoja na mafanikio yake. Ni katoto ka kukaonya.
We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina Maxence Melo wenyewe.
You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.
Ka Niffer ni katoto hilo serikali ya leo ielewe japokuwa imejaa watu wapuuzi.
ku.ma.mae zao yani uchungu nlionao nikpewa bomu la kujtoa muhanga lilipo lile libibi linywa damu za watanganyika mi npo tyr kumaliza mchezo hata sasahivi npo tyr kutoa roho yangu ili mradi nihakikshiwe nakufa na lile libibi la kzimkazi.Wanasema kacheza mziki wa Nywinywinywi hivyo huo ni uhaini.
Na wakasema hawajamleta Lissu mahakamani sababu hali ya usalama si nzuri.. na wakati huo huo raia waliofanya fujo si wa Tz....
Ndio wamesema yeye na hao 80+ sio raia ila ni raia kutoka nje si ndio au tumeambiwa uongo?
Wahaya wapumbavu ni wachache sana huyo Niffer kama harakati ziko ndani ya roho yake sasa wamemjenga na kumpa attention kubwa stupidKa Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Huyu hajui kama Niffer ana roho ya harakati ndani yake hawezi kuacha na sasa ndo wametengeneza attention kwake na vile muhaya ameenda shule kidogo niko hapa Niffer atakuja kua kiongozi yeye wanasema tatizo kuuza barakoa za kuzuia mabomu ya machozi wanasahau Niffer ni mfanyabiashara Je hizo barakoa kuziuza ni kosa kisheria?Miaka yetu kwa umri wake, wahusika walikuwa wanatuonya kwanza; usiende huko.
Kwa kuelewa tulikuwa naive and stupid; at that age.
Hamchoki tu!!??!!
Mimi nimeanza kuchangia JF 2009 tafuta ID JUMA Contena ilishafungwa.Unejiunga jf 2021 kisha unasema umeanza kucomment Niffer akiwa anavaa dipers! Halafu unasema ulionywa uache kutukana, ulionywa na nani boss wakati kila siku watu wanaikosoa hiyo serekali ya majizi na hawajawahi kuonywa? Labda kama ulikuwa unakosoa kwa jina lako halisi, kitu ambacho si kweli.