Nini kimeipata Tanzania na CCM

Tuliambiwa tumevaniwa na wageni na ndio hao waliofanya yao. Sasa kwanini wasikamate hao wageni mkuu nakuwapa hizo kesi
 
Nime clear doubt 🧐 kumbe Kuna kuuzana..?!
Ndio maana Kila nikiandika nafuta kuna mambo nilitaka kuya andika kwa herufi kubwa ngoja niachane nayo Nina familia changa..
 
Nime clear doubt 🧐 kumbe Kuna kuuzana..?!
Ndio maana Kila nikiandika nafuta kuna mambo nilitaka kuya andika kwa herufi kubwa ngoja niachane nayo Nina familia changa..
Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.

JF inalinda vigogo wa serikali au wachangiaji ambao uongozi wa value kwao.

Vinginevyo wanakugawa, bure tuż
 
Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.

JF inalinda vigogo wa serikali au wachangiaji ambao uongozi wa value kwao.

Vinginevyo wanakugawa, bure tuż
...
Hili ukilisema waziwazi kidogo hapo hujaeleweka kiongozi umesema kwamba wanawaelekezea bunduki na risasi watu ambao sio viongozi sio vigogo au hawana value yoyote humu JF ndio umemaanisha hivyo? Maana yako sio salama kwa watu wengine isipokua vigogo na viongozi?
 
Kama hao ndiyo waliyo kuuza basi JF ain't safe.
 
We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina @Maxence Melo wenyewe.

You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.
...
Noted: itabidi nianze kutembea kwaa hatua ...
 
Soma post vizuri sio kuniwekea maneno.

Japo sijasema unayokusudia. Kama kutaka kujua msimamo wangu kwa Samia ni genge lake la wahuni wauwaji.

Ili tusiende back and forth kwenye hiyo hoja Samia ni shetani.

Sasa tujikite kwenye serikali inayotaka kuumiza watoto kwa makosa madogo; ndio msingi wa mada.
 
Kama kutaka kujua msimamo wangu kwa Samia ni genge lake la wahuni wauwaji.

Ili tusiende back and forth kwenye hiyo hoja Samia ni shetani.

Sasa tujikite kwenye serikali inayotaka kuumiza watoto kwa makosa madogo; ndio msingi wa mada.
...
Soma tena hapo nilipoweka bold
 
Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.

JF inalinda vigogo wa serikali au wachangiaji ambao uongozi wa value kwao.

Vinginevyo wanakugawa, bure tuż
Hili nilikua na doubt nalo Asante kwa kuni thibitishia.
 
wanachadema wamekua wakionyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kipindi hiki isivyo kawaida
Nyerere hakuwa chadema ila alivaa gwanda za kaki sometimes ..Kua chadema sio uasi au uhaini.

Mtu ambae hakufanya vizuri kwenye elimu yake ya ordinary level..usimtegemee akafanya makubwa akipewa dhamana kubwa kubwa kuliko uwezo wake wa uelewa na ufahamu.

Kama TAIFA tumerudi nyuma kama tupo Karne ya 16 kwanini tumefika tulipo tuanzie hapo.

Kama TAIFA tumekubari akili ndogo itawale akili kubwa hii haikubariki kwa watu wote wanao itakia mema nchi yetu ya tanzania

Tuweke picha za walio fariki kwa kutofikiwa na madaktari wakati wa lock down na machafuko?!

Mzee wangu mwenyewe almanusra atutoke sababu ya lock down na machafuko huko mkoani unadhani hili jambo halitengenezi chuki na uasi moyoni mwa watu??!

Tafakarii
 
Hata haka nako eti ni kahaini. Roho imeniuma kweli nilipokaona. Nadhani nitakaoa haka kama hawatakanyonga. Ila Samia jamani kha!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…