Nini kimeikumba chama changu CHADEMA?

lakini kwa Tamaduni za CHADEMA si unajua tuko moshi likizo!! Unataka tukiuke tamaduni zetu?? Unataka laana ww
 

Kuna baadhi ya wilaya na halmashauri wanakwepa majukumu Yao badala yake wananyanyasa raia.raia hawaruhusiwi kufanya biashara wala kuona kisa kipindupindu ili tu wamfurahishe magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…