Northpole JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 590 Reaction score 858 Apr 16, 2024 #101 Poppy Hatonn said: Nyinyi mnakosa mambo. Leo Waziri Jenista Mhagama alikuwa anaongea kuhusu juhudi kubwa zilizofanywa na serikali kukomesha madawa ya kulevya,halafu mnasema Bunge halina mvuto? Click to expand... Madawa ya kulevya ni ufukara na ujinga, hizo zingine ni propaganda za kudanganya wananchi
Poppy Hatonn said: Nyinyi mnakosa mambo. Leo Waziri Jenista Mhagama alikuwa anaongea kuhusu juhudi kubwa zilizofanywa na serikali kukomesha madawa ya kulevya,halafu mnasema Bunge halina mvuto? Click to expand... Madawa ya kulevya ni ufukara na ujinga, hizo zingine ni propaganda za kudanganya wananchi
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,885 Reaction score 128,976 Apr 16, 2024 #102 Tlaatlaah said: unajiumiza bure tu kisaikolojia, na mambo tunasukuma vizuri sana na yanaenda vizuri mno bila mbamabamba yoyote Click to expand... Naumia na Nini kwa mfano? Yaani unaona natamani ile mbaya. Kwenye huo ukhanithi simo.
Tlaatlaah said: unajiumiza bure tu kisaikolojia, na mambo tunasukuma vizuri sana na yanaenda vizuri mno bila mbamabamba yoyote Click to expand... Naumia na Nini kwa mfano? Yaani unaona natamani ile mbaya. Kwenye huo ukhanithi simo.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 50,260 Reaction score 40,604 Apr 16, 2024 #103 Tindo said: Naumia na Nini kwa mfano? Yaani unaona natamani ile mbaya. Kwenye huo ukhanithi simo. Click to expand... unaumia na bunge 🐒
Tindo said: Naumia na Nini kwa mfano? Yaani unaona natamani ile mbaya. Kwenye huo ukhanithi simo. Click to expand... unaumia na bunge 🐒
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,416 Reaction score 25,123 Apr 16, 2024 #104 Tumsikilize WAITARA akilia machozi?
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,885 Reaction score 128,976 Apr 16, 2024 #105 Tlaatlaah said: unaumia na bunge 🐒 Click to expand... Bunge hili kibogoyo la majizi ya kura, ama lipi?
Tlaatlaah said: unaumia na bunge 🐒 Click to expand... Bunge hili kibogoyo la majizi ya kura, ama lipi?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 50,260 Reaction score 40,604 Apr 16, 2024 #106 Tindo said: Bunge hili kibogoyo la majizi ya kura, ama lipi? Click to expand... Bunge Imara na Madhubuti sana la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Tindo said: Bunge hili kibogoyo la majizi ya kura, ama lipi? Click to expand... Bunge Imara na Madhubuti sana la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,653 Reaction score 17,206 Apr 16, 2024 Thread starter #107 Tindo said: Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi. Click to expand... Hali ni mbaya sana...
Tindo said: Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi. Click to expand... Hali ni mbaya sana...
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,653 Reaction score 17,206 Apr 16, 2024 Thread starter #108 Tlaatlaah said: unajiumiza bure tu kisaikolojia, na mambo tunasukuma vizuri sana na yanaenda vizuri mno bila mbamabamba yoyote Click to expand... Unapata shida mnoo... Pole sana.
Tlaatlaah said: unajiumiza bure tu kisaikolojia, na mambo tunasukuma vizuri sana na yanaenda vizuri mno bila mbamabamba yoyote Click to expand... Unapata shida mnoo... Pole sana.
M Mpogomi02 Member Joined Feb 18, 2024 Posts 49 Reaction score 67 Apr 16, 2024 #109 Acheni utani basi, hivi ni kweli kuna bunge linaendelea?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 50,260 Reaction score 40,604 Apr 16, 2024 #110 blogger said: Unapata shida mnoo... Pole sana. Click to expand... sawa