Nini kilichpo nyuma ya sadaka na dhabihu (sacrifices)?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Naomba mwenyewe uelewa na masuala ya kiroho aniambie connection iliyopo katika matoleo iwe kwa mashetani ama kwa MUNGU wetu ukitaka ufanikiwe basi inakupasa ufanye hivyo. What is happening Enough to succeed?.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom