miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Hapana miss, hoja sio uzuri wa shem! Jamaa anahisi anacho cha kupoteza km ndoa itavunjika, mf watoto na baadhi assets zao km nyumba
Hii historia yako imebase kwenye upande mmoja na ni ngumu kutoa ushauri wakati hakieleweki kinachoendelea mtu hazuki akataka kumuacha mumewe tu bila sababu ya msingi.ni hayo tu ninayoweza kusema sasa!
Ndio niliamini nikimchukua ningeokoa jhz kmb ndio balaa