Nini kifanyike kupunguza changamoto ya ajira?

Nini kifanyike kupunguza changamoto ya ajira?

Joined
Jun 30, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Bado kichwa changu kinauma kwa kutafakari ni nini haswa kifanyike kupunguza hizi changamoto za ajira kwa vijana wa kitanzania?
 
Umri wa kustaafu uwe Ni miaka 48 mtu aingie kwenye Ajira Ana miaka 25 atumikie iyo miaka 23 inamtosha kupata capital apishe wengine.

Mbunge iwe ni term moja tu ili mwingine aingie madarakani.

Pia salary yao ipunguzwe. Raisi apunguziwe madaraka.

Pia miktaba inayosainiwa Kama ya software ya wahindi iwekwe wazi tuamue sisi wenyewe Mana Ni hela zetu na sio hao ambao tumewachagua halafu wanaogopwa.

Imagine 69bilioni za software unadhani hapa Ni Ajira ngapi mfano viwanda vya kukoboa na kufanya package ya unga ndio uende nje vingefunguliwa.

Wakenya wanunue unga tayari una chapa ya Tanzania.

Kilimo Cha matunda ya kisasa ili tu export ulaya.

Yaani hizo bilioni 69 zilitosha kumleta mtaalamu tokea uk atupe how to grow fruits zinazo qualify kuingia Europe tukameki Ajira na soko kubwa.

Tukodi mzungu Kama watatu ivi watuingoze nchi yetu Mana tuna kila kitu Ila hata madawati hayapo hapa kijijini kwetu ya watt kukalia hapa liwale Lindi buhigwe nsimbo
 
Back
Top Bottom