Tuelewe tu mama, wengine tunaandika thread ili na sisi tuone ni kwa kiasi gani watu watachangia kwenye tulichokiandika.
Wengine tunaandika thread ili tu tujaze traffic kwenye comments.
Wengine tunaandika yanayotusibu kweli ili tupate ushauri wa kutusaidia.
Wengine ni comedians, tunafanya jokes.
Wengine tunaandika thread ili tufikishe ujumbe au taarifa.
etc etc.