mwamba_ngori
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 251
- 295
Mkuu tuhurumie wenzio saivi joto sana kunywa hiki kinywaji.Jaman ni jambo ambalo kuamin ni shida sana ukielezwa na mke wako akifanya Hivi...
Kulikuwa na Jamaa amepanga na mke wake sasa siku moja alichukua ndoo waliyokuwa wakitumia na mke wake akaenda nayo katika mishe zake. Mke wake alipotaka Kuoga akaomba Ndoo nyingine kwa mpangaji mwingine alikuwa na yeye ni mwana ume.
Sasa baada ya Kuoga akamrudishia yule jamaa ndoo yake. Bila kujua kumbe alisahau Nguo ya ndani{ chupi} kwenye ile ndoo na Jamaa aliiona ila hakutaka kurudisha sababu alijua atakumbuka na kuifata Basi baada ya mda kidogo yule Mwanamke akafata Ile nguo yule jamaa akamwambia Ingia ndani ukachuke ndoo ipo Sebleni yule mwanamke alikuwa na Kanga moja tu.
Baada ya Kuchukua ile anatoka mlangoni tuu Mme wake anamuona anatoka kwenye nyumba ya mpangaji mwenzake na Kashikilia ile Nguo ya ndani Na Ana kanga moja Tu!! .
Mwanaume amekataaa katakata kuamin ya mke wake jeh!!
Nini kifanyike kunusuru ndoa hii.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hutaki al kasusu😀😀😀Mkuu tuhurumie wenzio saivi joto sana kunywa hiki kinywaji.
Ungesubiri subri hata jioni jua likiwa limepoa.
Sio kwa jua hili aiseeMkuu hutaki al kasusu😀😀😀
😀 😀 😀 😀Sio kwa jua hili aisee
Kuna member huku kama sikosei anaitwa Don Clericuzio , aliniambia huku unaweza kujipinda kuandika ushauri kumbe ni story ya kutunga.Hii stroy (yakutunga) nakumbuka niliiona miaka hiyo ya zamani enzi smartphone zinaanza kuingia mimi nilikuwa natumia Nokia Ashura nilinunuliwa na bi mkubwa kwa kufaulu mtihani wa kidato cha pili.
Kuna member huku kama sikosei anaitwa Don Clericuzio , aliniambia huku unaweza kujipinda kuandika ushauri kumbe ni story ya kutunga.
Nilikuwa ninataka nianze kushauri nikasema nisome comments kwanza. NingeumiaHahaha, ndo maana yake.
Ila kusema kweli miaka ya nyuma hii story ili trend sana. Sijui kama alieitoa mwanzo ilikua sio ya kutunga lakini ilienea sana enzi hizo Facebook imekolea bongo.Kuna member huku kama sikosei anaitwa Don Clericuzio , aliniambia huku unaweza kujipinda kuandika ushauri kumbe ni story ya kutunga.
Nilikuwa ninataka nianze kushauri nikasema nisome comments kwanza. Ningeumia
Hauioni imekaa kwa kutungwa tungwa. Hata huyo wa zamani alitunga.Ila kusema kweli miaka ya nyuma hii story ili trend sana. Sijui kama alieitoa mwanzo ilikua sio ya kutunga lakini ilienea sana enzi hizo Facebook imekolea bongo.
Ila kusema kweli miaka ya nyuma hii story ili trend sana. Sijui kama alieitoa mwanzo ilikua sio ya kutunga lakini ilienea sana enzi hizo Facebook imekolea bongo.
Inaumiza sasa kama hii story ya kitambo leo inaombewa ushauri jamani. Ukijua na umetoa ushauri lazima uumie. Maana huu ushauri wa 2020 unaenda vipi kutatua tatizo la 2015 huko.Hutakiwi kuumia, toa ushauri kutoka moyoni, hayo mengine ya ametunga achana nayo.
Kwa sababu huwezi kujua unaweza kuta ni kweli msaada unahitajika ila ni ujuaji wetu kumchallenge mleta mada.