Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,944
- 51,081
Kwa kweli tusaidiane kupata mbinu za kuitoa CCM madarakani.Ngoja wenye ideas wanakuja.
Kodi inayofanyiwa matumizi bila ya kupitia bungeni?Mi naona iliccm ife ni kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi
Matumizi ya ruzuku ya Chadema huwa yanapitishwa na nani?Kodi inayofanyiwa matumizi bila ya kupitia bungeni?
Mwenyekiti wenu kahusishwa kwenye kashfa ngapi?Kwa kweli tusaidiane kupata mbinu za kuitoa CCM madarakani.
Chama gani hiki ambacho kwenye kila uovu dhidi ya watanzania chenyewe lazima wanachama wake watajwe! Yaani mpaka kughushi cheti na wala haiwastushi hata kama wamefukuza maelfu ya wafanyakazi kwa tuhuma hizo hizo za kuwa na vyeti feki!
Kwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
CCM haijawahi kumshinda mkoloni bali yenyewe ndiye mkoloni mweusi!CCM ina historia ya kumshinda mkoloni...sasa wewe muuza madafu unatarajia kuisambaratisha?
"Too big" kuliko USSR iliyokuwa inalindwa na KGB lakini mwisho wa siku ilisambaratika?CCM is too Big to Fail!
Tutaanza na video ya lema akiahidi Machinga Complex pale Arusha.CDM 2020 watumie video zilizopo youtube za wagombea mbali mbali wa SISIEM mwaka 2015 wakitoa ahadi na jinsi utekelezaji ulivyofanyika,
Watumie projector yaani iwe kama vile lecture,
Mfano video ya 2015 jimboni X itumike hapohapo jimboni X kama reference ya kucriticise.
Sawa kabisa. Lakini Lema si CCM na lengo ni kuhakikisha CCM inasambaratika. Kama una hoja dhidi ya CHADEMA anzisha mada yako!Tutaanza na video ya lema akiahidi Machinga Complex pale Arusha.
Waelimishe ndugu zako wote wanaokuzunguka huko kijijini athari hizo kuwa ccm ndio sababu kisha uwaambie wasiishabikie wala kuipigia kura.Kwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
Hili wazo ni zuri sana, ingawa hata mijini bado wamejaa watu wanaoamini neema itakuja baada ya mwaka 2025, Kwa ivo wanaendelea kuivumilia CCM na kuisapoti!Waelimishe ndugu zako wote wanaokuzunguka huko kijijini athari hizo kuwa ccm ndio sababu kisha uwaambie wasiishabikie wala kuipigia kura.