Hii timu inazidi kunikondesha.....Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.
Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni,masikioni mwa mataifa mengi balani Afrika na imefikia hatua hata club itakayopangiwa na simba basi walikuwa na kimuhemuhe.
Simba hii ilishaanza kujijengea heshima mpaka CAF huko na kupewa offer mbali mbali kuanzia AFL na mengine,hapo hatujagusia masuala ya dili za hapa na pale.
Naamini kama tutapeana elimu na nini chakufanya basi kaunzia sisi mashabiki tunaweza kuiweka Simba mahali salama kabisa,tuache ule msemo wa kijinga kwamba"SIMBA NA YANGA" haiwezi kuwa za moto zote kwa pamoja hivyo lazima kuna kipindi mmoja atashuka"huu ni msemo kwa watu wasio na maono".
Tuanze kwa mashabiki nini tufanye,tuje kwa wanachama wenye kadi nini waanye,tumalizie na viongozi kipi wafanye.
Ni vyemq hata wa upande wa pili ukatoa hoja za busara kuliko kushambuliana,tunapotaka kutatua tatizo kama hili lina milolongo yake hivyo lazima tufate procedure zoote za kufanikisha jambo hili.
NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII
Umtie bakora mwenye timu?Hii timu inazidi kunikondesha.....
Chakufanya ni kwenda kuwatia bakora akina Mo, mangungu,try again,CEO!!!!
Baada ya bakora tuwarudishe friends of Simba + Babra!!!!
Argghh 5imba ilipofikia ipambane nahali yake tu hakuna namna
asa umchape mo halaf Babraham arudi kweli jombaa bila mo ungemjua Babraham wewe?Hii timu inazidi kunikondesha.....
Chakufanya ni kwenda kuwatia bakora akina Mo, mangungu,try again,CEO!!!!
Baada ya bakora tuwarudishe friends of Simba + Babra!!!!
NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII?Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.
Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa mataifa mengi balani Afrika na imefikia hatua hata club itakayopangiwa na simba basi walikuwa na kimuhemuhe.
Simba hii ilishaanza kujijengea heshima mpaka CAF huko na kupewa offer mbali mbali kuanzia AFL na mengine,hapo hatujagusia masuala ya dili za hapa na pale.
Naamini kama tutapeana elimu na nini chakufanya basi kaunzia sisi mashabiki tunaweza kuiweka Simba mahali salama kabisa,tuache ule msemo wa kijinga kwamba"SIMBA NA YANGA" haiwezi kuwa za moto zote kwa pamoja hivyo lazima kuna kipindi mmoja atashuka"huu ni msemo kwa watu wasio na maono".
Tuanze kwa mashabiki nini tufanye,tuje kwa wanachama wenye kadi nini waanye,tumalizie na viongozi kipi wafanye.
Ni vyema hata wa upande wa pili ukatoa hoja za busara kuliko kushambuliana,tunapotaka kutatua tatizo kama hili lina milolongo yake hivyo lazima tufate procedure zoote za kufanikisha jambo hili.
NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII