Nini kazi ya kikosi hiki cha Marekani?

Nini kazi ya kikosi hiki cha Marekani?

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
828
Reaction score
2,110
Wakuu salamu,naomba kujua kazi ya hiki kikosi kitakachoanzishwa na Marekani kitakuwa na majukumu gani na kambi zake zitakuwa ni huku huku duniani au ni angani au ni mwezini au ni kwenye sayari nyingine apart from Earth?
..........


> Rais wa Marekani amesaini Sheria inayoruhusu kuundwa kwa Kituo cha Kijeshi cha Angani.

> Hatua hiyo itawezesha kuanzishwa kwa Kituo cha Kijeshi cha Angani kilichopendekezwa na Trump ikiwa ni Tawi la sita la Jeshi la Marekani
 
Back
Top Bottom