Mkuu....Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu
Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka
Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.
Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa
DHARAU ZAKO.
KIBURI CHAKO.
MAJIVUNO YAKO.
CHUKI ZAKO.
TAMAA ZAKO.
Mbaya zaidi ufufuke kule chini na hata ukiita hawasikii. (Uzikaji wa waislamu kumbe mtu kazimia.)Daah ila njia ya kuzikwa ardhini ni ngumu sana Bora hata wanichome moto tu majivu yapelekwe baharini kuliko kufukiwa kwenye Udongo
Pole sana40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini πππ
Nitaandika usia wanichome aisee kufukiwa mwenyew chini sio kitu rahisi ujueNdo utafukiwa kuchoma sisi sio wahindi mkuu
Ahsante π’Pole sana
nishawahi kuwaza ukishastuka sijui inakuwaje kule chini upo mwenyew hakuna msaada daahMbaya zaidi ufufuke kule chini na hata ukiita hawasikii. (Uzikaji wa waislamu kumbe mtu kazimia.)
Pole Evelyn40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini πππ
Doh pole sana, jitahidi sana usiwaze hayo.40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini πππ