Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Waanene wote hata kama anavaa skin tight mapaja yanasuguana hivyo kuacha weusi. Wenzangu mtasema ukweli bila kuwatupia hawa dada na mama zetu mawe wakati ni asili tu kwa wengi wa wanene niseme over 90%. Labda pengine ukute ni wale wanaoapply mpaka mikorogo huko ili kuepuka weusi ila ukikuta wale natural ni lazima utakutana na weusi kati kati ya mapaja.
 
Mkuu,ulipotelea wapi?
Jf, ilipoa ghafla...nakushujur Mzee wa King Kiki kitambaa cheupe!
 
Si bibi mdogo kwa babu Asprin. Hiyo tiba nzuri. Yakianza kuungua tu napaka nisijeklsa kusalimia kwa bibi bure
maxresdefault.jpg
 
Mapaja kusuguana

Uchafu

Joto

Kwenda haja ndogo bila kutumia Maji chumvi chumvi za kwenye mkojo huchangia
 
I love it when it's all black
Msinicheke wala msinishangae!
 
Hili tatzo co la wanawake tu....ni wote...

May b kwa kua research yako imebase kwa wanawake...

4mi tatzo nahisni joto na kubongeka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom