Plaimali=Primary
nakumbuka nliwahi kuuliza hili swali plaimali mwalimu akakosa jibu akasema nisubiri kesho.
Sababu ya sehemu za ukanda wa juu kuwa na baridi zaidi ni kutokana na hewa yake(air molecules) kuwa na pressure ndogo hivyo kutokuwa na uwezo wa kuhifadhi joto,ilhali kwenye ukanda wa usawa wa bahari molekyuli za hewaa huwa na pressure kubwa na hivyo kuweza kuhifadhi joto kwa kiasi kikubwa.
Presur ikipungua joto hupungua.Mkuu !
Ktk physics pamoja na geography ya o level unaweza pata majibu ya swali lako japo kwa juu juu !
Pressure huongezela kadri unavyo kwenda katika usawa wa bahari na kadri uendavyo ktk centre of the earth ( earth crust )
Ktk Charles , Boyles and pressure laws , pressure huwa directly proportional to pressure ! Hivyo kadri pressure inaongezeka ndivyo na joto huongezeka !
Pengine swali lingine litakuwa kwa nn pressure iongezeke kadri uendavyo bondeni ! Labda jibu linaweza kuwa ni kwa kuwa gravitational force huongezeka pia kadiri uendavyo chini na hupungua kadri uendavyo nje ya usawa wa dunia na ukitoka ktk orbit kunakuwa hakuna kabisa !
Nimejaribu kufadavua kwa kashule kadogo ka o level ! Nadhani waliopiga geography a level watatupa majibu sahihi zaidi !
Mimi huwa najiuliza kwa nini kukianza pambazuka kunakuwa na kabaridi kakali sana ghafla !? Pls wenye shule zao mtusaidie hapa
Mkuu !

Hahahaaaa
Kasome topic inaitwa climatology, form five geography