Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,913
- 43,503
Wasalaam wana jamvi.
Ni ukweli ulio wazi kabisa ujio wa sport pesa utamfukuza Manji YANGA na nitakacho tokea ni Yanga kupelekwa mahakamani kwa madeni wanayo daiwa na Manji kwakuwa amekuwa akiwalisha,kuwavisha na kuwahudumia kwa kila kitu...
Manji anategemea nembo yake iendelee kukaa mbele ya jezi ili aendelee kutangaza biashara yake sasa kilichotokea ni wazi Manji hatokubali na lazima kinuke.
Ukweli ni kwamba Manja hajakubaliana na mkataba kati ya sportpesa na Yanga kwakuwa maslai yake yameguswa na kitakachofuata ni kuongea na wana habari na kuwaburuza Yanga mahakamani ili wamlipe madeni yake kisha waachane...ni wazi pesa za sportpesa zitatumika kumlipa Manji.
Wasalaam........