Nini hatma ya hizi vurugu

Amos Kiumbe

Member
Oct 16, 2012
10
0
Ni jambo la kushangaza sana kwa ha2a zilizofikia mpaka sasa katika nchi yetu hasa ktk swala hili la udini.NANUKUU na KUKUBALIANA na msemo usemao 'UKICHEZA NA MBWA UTAINGIANAYE MPAKA MSIKITINI' Msemo huu ndivyo unavyoelekea kujidhihirisha ktk nchi ye2, Wewe km mwana JF unadhan ni njia zipi zinaweza kuwa suluhisho la hili tatizo?
 
Back
Top Bottom