RR, Narudia tena nimeguswa sana na posting zako na indeed am very interested na subject but please ..amnt the authority ..honestly sijui kama naweza kueleza Utu kirahisi as you do!! Nafikiri najua what it is and can detect it kwa mtu mwingine ..na hata kujua ...huyu can do better ..lakini ..siwezi kueleza kama wewe...ona nimekwepa ..muda wote kujaribu ku define.. Ghafla I saw ..ulivyoeeza..and I said hahh ..nilitaka... kusema kama wewe.. ambayo ni sawa na mfano wa LJD!! Yaani ..Ninahitaji UTU kutambua UTU wa mtu mwingiine kind of ...!!
Well, mi mchango wangu ni kwamba we can only define Utu by saying when it is not Utu, na pia by saying what Utu brings us katika maisha.
Na kurudi swala la leadership Tanzania, huyo leader Mwenye Utu atakua leader ambae hafanyi hayo mbambo (ambayo yanatokea pasipo kua na Utu) na ambae anatuongezea vitu vinngine (ambavyo vinakuja wakati kuna Utu).
Then from there tuanze kuvitaja hivyo vitu na kujadili kama kweli kitu fulani ni part of Utu au sio part of Utu.
Emotional Intelligence is Definitely part of Utu (to me). Compassion, sociability, tolerance, proactive assistance, love, careness, kindness, forgiveness, indulgence, etc.
Kuna vitu karibu sana na Utu ila sio utu. kama ustaarabu, uungwana, etc. they are (or not) part of it but they are not synonymes .
RR
Hata watu wote wakisikiliza mziki mmoja kwa wakati mmoja basi hisia watakazopata ni tofauti kutokana na vitu kadhaa vya ki-background kama mtu kashiba au ana njaa, kaoga au la, mrefu au mfupi, anatumia mkorogo or not na mengineyo mengi (lol)
Hata kama utu tulizaliwa nao, lakini utakuwa shaped na vitu vinavuotuzunguka kiasi cha kuwa hakuna kitu kama "utu wa Kiafrika" wala "utu wa Kitanzania"
True that. Kuna watu wanahisi hakuna kitu chochote duniani ambachi ni absolute truth, or absolute false. kila kitu kina tegemea mazingira. Kama ni kweli basi hata hiyo idea (kwamba hakuna kitu chochote ambacho ni kweli) inaweza kua challenged. Complete relativism undermines its own validity as a theory.
Mi naamini kuna set of values, set of truth, set of 'common sense' ambazo kila binadam anavyo. na hivyo vitu vyote pamoja, na akili ya kuvitumia kwa kutokana na mazingira, na kuweza kuvibadilisha ili uendelee kuweka harmony kati ya wewe na watu karibu yako ndio UTU wenyewe sasa. It is very broad and complex, yet it is very accessible.