Huwezi kumlaumu ana upeo mdogo.Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na barvicha kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii
USSR
Ilikuwa only one step ahead !!Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo
Kingekuwa Chuma kisingeoza na kingekuwepo hai hadi leo.Reaction ya JPM kwny gonjwa la Corona anastahiki alama zote I.e mia fil mia
Allah alimpa ilhamu ya hali ya juu sana …alipata ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana kuliko wasomi, watabiri na waganga na waganguzi
Kile chuma kilikuwa na flavor yake ya kipekee sana hata Julius angekuwepo kuna mambo angetakiwa ajifunze kwa yule Mwamba
nime miss sana zile hotuba za kutoka moyoni ambazo ndio hasa za Rais
Ma Rais wote walikuwa wanahutubia Hotuba za Ikulu kasoro John peke yake ndo alikuwa anatoa hotuba zake mwenyewe …hata Julius Hotuba zake nyingi zilikuwa zinehaririwa na yule Katibu wake Bibi wa Kiingereza
Unajua herd immunity ni mini ?Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo