Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

Mi nilikuwa sijui nikiolewa nadhani nitaleta mrejesho km nikiyakuta hayo Daby.... Lkn sijajua nilini coz cjafikiria kuwa mwili mmoja naogopa
 
Upendo!!!
Ukimpenda utamfanyia vyote anavyohitaji! Huwezi ukampenda mtu na usimjali, usimtunze n.k
 
Mi nilikuwa sijui nikiolewa nadhani nitaleta mrejesho km nikiyakuta hayo Daby.... Lkn sijajua nilini coz cjafikiria kuwa mwili mmoja naogopa
Jamani kwanini unaogopa...
 
katika ndoa mungu alitupa.majukumu ili ndoa iwe na amani furaha na upendo mwanamke amtii mme wake kwa kila jambo na mwanaume ampende mke waka kama mwili wake hapo ndoa itadumuu sana na furahaa tele
 
Asante mkuu
 
Unaponiachaga hoi ni hapo kutokuficha hata michepuko yako.

Navitumia/nakitumia. Shemeji wewe mhuni eeeh
Kwani we si ulivitaja kwa wingi?
Alafu shemeji kutumia kimoja tu ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…