Hivi nyie hamna hayo eeeh? Inabidi uyaone ndiyo uelewe vizuri.Shemeji makende ndio manini hayo?
Mkiamua mnaweza.
Huyo labda alikuwa anamuongelea mwanamke wake.Kuna mtu humu katupa saikolojia ya mwanamke.Hiyo.saikojia inatofautian kabisa na uzi huu.Yeye anasema wanawake wanapenda wanaume wakorofi wanaotumia.nguvu wenye vurugu.Eti ubabe umfanya mwanamke kujisikia safe zaidi.Alienda zaidi kwa kusema mahitàji yao (wanawake) huyaleta kinyume mfamo "mm huwa sipendi cheni (chain) ya dhahabu" hapo maana yake anaipenda hiyo cheni,nk.
Bado sijakuelewa shemeji, jitahidi nielewe.Hivi nyie hamna hayo eeeh? Inabidi uyaone ndiyo uelewe vizuri.
Uamuzi sasa ndipo kazi ilipo. Common sense is like flower do not grow in every tree.
Jitahidi bhanaMimi sijui kudekezwa..itakuaje?
[emoji5] [emoji5]Unaonekana tu
Eee sana tuNa wewe unapenda kudekezwa?
Mbarikiwe10. Miamala isomeke.....
Imeandikwa
Mwanaume ampende mke wake.....kwa moyo wake.
7.kutuzwa (5)
8.kujaliwa
9.kusikilizwa
10.
1. Kukojozwa
2. Kupendwa...
3. Kuzalishwa..
4. Kuheshimiwa...
5. Kutimiziwa...
6. Kulindwa...
Sasa viungo vya wanaume vinakuhusu nini!Bado sijakuelewa shemeji, jitahidi nielewe.
makende n nn kwanSio kila mwanaume anaweza kuvitimiza kama ambavyo kila mmoja ana makende.
Inapendeza sanaNawajueni ndio maana...
Nami nakupenda pia.Inapendeza sana
Ni Korodanmakende n nn kwan
Haha hivi nyie mbona mnayapapatikia saana.makende n nn kwan
Mungu akutimizie haja ya moyo wako joanahEee sana tu
Wee babu Nikikwambia umezeeka unabishaNami nakupenda pia.
[emoji23][emoji23]Ni Korodan