Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,003
- 156,329
...na hasira juu.Bujibuji bado ana majonzi
Bujibuji bado ana majonzi
[/h][h=2]Nini faida za wivu wa kimapenzi uliopitiliza ?
wivu unaua!!!
kama huamini.. waulize wachaga wa leo!!
[/COLOR][/h]
Kama swali lako ni hili, basi binafsi mpaka nimefikia umri huu sijawahi kusikia mtu akielezea faida yoyote ya wivu wa kimapenzi uliopitiliza. Kwa miaka kadhaa, nimekuwa nikisikia hasara tu za watu kuua au hata kujiua. Sioni faida mkuu wangu kwa wivu wa aina hii.
Naungana na wewe kuwa ni kweli tunahitaji ushauri katika mambo ya mahusiano!
kukatisha wakiongoza kwa kuwa na wivu na shabaha duni......
[/COLOR][/h]
Kama swali lako ni hili, basi binafsi mpaka nimefikia umri huu sijawahi kusikia mtu akielezea faida yoyote ya wivu wa kimapenzi uliopitiliza. Kwa miaka kadhaa, nimekuwa nikisikia hasara tu za watu kuua au hata kujiua. Sioni faida mkuu wangu kwa wivu wa aina hii.
Naungana na wewe kuwa ni kweli tunahitaji ushauri katika mambo ya mahusiano!
karibu sana na shukrani kwa mchango mzuri...Bro! umeuliza swali la msingi sana.
Ukweli ni kwamba malezi na makuzi yetu kama wanadamu ndio sababu ya mambo yote. Tunafundishwa kuhangaika kwaajili ya kujilimbikizia. Kila kitu tunachokifanya tunafudishwa kukifanya ili tuongeze umiliki kwa maana nyingine misingi ya makuzi na ulimwengu hii imejengwa kwenye ubinafsi. Kwamaana hii hata neno mapenzi kati ya mwanamke na mwanamme ni namna fulani ya kukamilishwa utupu au uwazi fulani uliko kwenye nafsi zetu. mapenzi yanatakiwa yatupe uhuru lakini utashangaa duniani kote mapenzi yamekuwa ni kifungo cha nafsi. Matajiri wengi wamekufa na maskini halikadhalika! Ukiniuliza kwanini jamaa amempiga risasi demu wake; sababu ni hiyo hiyo; kitu cha msingi ukigundua umempenda mtu na anakusaliti jiulize miaka yote kabla hujawa naye uliishi vipi? then, let it go.
thanks
brother GININGI-I AM NEW HERE
Brother Bujibuji thtead hii ni mwendelezo wa uzi huu? https://www.jamiiforums.com/mahusia...-malimbukeni-wa-mapenzi-wanaua-na-kujiua.html
Du! haya mkuu, nimeelewa.Hamna bhana!
Ule uzi ni kwa kutoa makavu na somo kwa wachaga!
Waache ushamba wao wa kuhudumia wake/wapenzi wao kama watoto wao! Na wakifanya hivyo wakitemwa watulie tu kama nö 1!
...
Huu wa leo jamaa anatoa wazo kuwe na mabaraza ya kutoa ushauri juu ya WIVU! wachaga leo ni kama mfano na sio topic!
Understand!
Jamaa wanataka kutumalizia mademu zetu hawaBrother Bujibuji thtead hii ni mwendelezo wa uzi huu? https://www.jamiiforums.com/mahusia...-malimbukeni-wa-mapenzi-wanaua-na-kujiua.html