Nini faida ya majungu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini faida ya majungu?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by American lady, Jan 9, 2010.

 1. American lady

  American lady Member

  #1
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dawa ya majungu! Hodi wajameni ktk jukwaa la maoni.maisha yanasogea tu na mambo yanabadilika lkn jambo moja tu linanisumbua kuhusu hawa sijui niwape jina gani labda wapika majungu.unakuta mtu mmefahamiana labda kazini kwa muda mfupi sn basi ukaamuakuhama kwenda sehemu nyingine baada ya muda huku nyuma unasikia yule aliyekuwa rafiki yk wa karibu anakuchafulia jina lako kwa maneno ya uongo.naombeni mnisaisaidie watu km hawa dawa yao ni nini?au tuwaweke ktk kundi gn maana watu km hawa lzm watakuwa na matatizo sn katika jamii.
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Balimwengu ndivyo walivyo.

  Kuna watu wanaosikia raha duniani kwa kuongea zaidi ya wengine kuliko yao. Kuna wale ambao wakisema baya la mwingine ndio linamwongezea uhai kwake pengine kwa kudhani ataonekana yeye anafaa kuliko mwenzake.
  We baache basemeee, mwishoe batachoka beyewe, endeleza Sikinde.... na mambo yako yatakuwa BYEEEEEEEEE. Hakuna aliyekufa kwa majungu, majungu sio mtaji, haubadili maisha....
   
 3. T

  Tall JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  ni kuwapuuza tu
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Ni kupata utapiamlo na utindio wa ubongo na hapa JF kuna watu wengi naona wamepata faida hizi za majungu
   
Loading...