Nini faida ya kuroot simu ya android

Nini faida ya kuroot simu ya android

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
kwa wataalamu wa simu ni faida gani ya kuroot simu ya android pia na hasara zake.
 
Hiyo ni ku-Gain Control over your Phone
e.g Huwezi Install some apps sababu ziko restricted kwako kufanya hivyo na Admin wako mfano kuna simu huwezi Install VPN client bila Root acess au huwezi install Screen capture bila root acess
 
samahani nn maana ya kuroot

Rooting ni kama formatting ila hapa inakua sio kufuta data ila unaifungua mifumo inayozuia cm yako kukubali kila aina ya installations.. Katika hali ya kawaida cm yko ina mifumo inayo controll/administer installations and other operations sasa ili uweze kugain full control ya usimamizi wa cm yko lazima ufanye rooting hapa unakua free from restrictions and u can operate ur phone at ur choice..!!!!!
 
Swadakta

Terminology hii huitwa jailBreak ukija kwenye Applie devices

yani kuvunja security mechanism na limitation iliopo kwenye simu na ukaweka vitu utakavo we

-all the best
 
Jaman nisaidien nini kazi ya kitufe cha back up ?
 
Back up ni kucopy mafaili yako katika memory ya ziada kwa ajili ya usalama. Mfano unaweza kuback up phonebook katika memory card ambapo majina yatakuwa kwenye simu au laini na majina hayohayo kwenye memory card. Simu ikigoma kufanya kazi mfano kuwaka kabla ya kuiflash unatoa memory card. Ukishaflash na kufuta mafaili yote majina yako ynasalimika kwenye memory card na sim card.
 
Mtaalam shukrani sana kwa ufafanuzi wako ispokuwa mimi binafsi nilikuwa naomba msaada wa namna gani naweza kuistall application ya vpn kwa ajili ya internat
 
Ku root cm nibaada ya madeveloper kukaa nakuichunguza cm husika nakuona kuana mpungufu fulani katika matumizi.mfano kuna cm zinakuwa na mpungufu katika network.au ram. Nakadha hivyo hutumia ujuzi na muda kuwakosoa waundaji wa cm husika hivyo kwa wewe ambaye umekwisha nunua cm basi wao hukuwezesha kupitia mtandao kip unatakiwa kufanya ili kuinoresha cm yako mfano kuna cm kama htc nexus one ni cm nzuri lakini ina ram ndogo(yaani memory yandani ya cm)ni mb 500 ambapo ukiweka apps kama 10 inaweza kukuonyesha kwamba memory haitoshi so kwa kuifanyia root zile apps zote zinaweza kuamia kwenye memory card ya ya nje kamani 2gb au 4gb itategemea nabaada ya kufaya hivyo cm
Inaongeza speed ya internet
Inaboresha ulaji.au matumizi ya battery
Na itategemea umeingiza rom ip
Kuna synogenmod5-10 nk.hasara hakuna ukiwa makini na maelezo
THANKS
 
Thanks sana naona nimefanikiwa kuroot tecno p3 naomba maujanja zaidi,
 
Attachments

  • shot_000005.jpg
    shot_000005.jpg
    30.4 KB · Views: 592
Mkuu nami natumia tecno p3 nipen maujanja umepata faida ipi baada ya kuroot simu yako
 
Rooting ni kama formatting ila hapa inakua sio kufuta data ila unaifungua mifumo inayozuia cm yako kukubali kila aina ya installations.. Katika hali ya kawaida cm yko ina mifumo inayo controll/administer installations and other operations sasa ili uweze kugain full control ya usimamizi wa cm yko lazima ufanye rooting hapa unakua free from restrictions and u can operate ur phone at ur choice..!!!!!

leo nimefunguka kweli pande hii, sikuwa najua kbs. Sasa hyo rooting unafanya mwenyewe ama kuna sehemu malum?
 
Back
Top Bottom