Lugha ni urithi wa thamani sana mababu walituachia na tunaupoteza, kuoa mtu wa kabila linguine na wewe unataka watoto wajue lugha yako ni kama ubinafsi, wana pyschologia wanasema mtoto akizaliwa mpaka anafikisha miaka nane ana uwezo wa kushika lugha nane kwa ufasaha kabisa kama atafundishwa lugha hizo.Naomba kujuzwa faida na hasara za mtu kuendeleza lugha ya kabila lake, ukizingatia watu siku hizi tunaoana makabila mchanganyiko. Je faida na hasara za kuendeleza lugha ya kabila lako ni zipi nawasilisha
Umeeleza mambo mawili ubinafsi na ulithi, fafanua kuhusu ulithiLugha ni urithi wa thamani sana mababu walituachia na tunaupoteza, kuoa mtu wa kabila linguine na wewe unataka watoto wajue lugha yako ni kama ubinafsi, wana pyschologia wanasema mtoto akizaliwa mpaka anafikisha miaka nane ana uwezo wa kushika lugha nane kwa ufasaha kabisa kama atafundishwa lugha hizo.
Lugha sahihi= fikra sahihi.mawasiliano yako ya kwanza duniani ulitumia lugha ipi?kama hujui mfano kikwenu unwezaje jua lugha nyingine vizuri.kiswahili kikushinde kweli utaweza kiingereza!Mie bado naamini ktk lugha ya mama.Naomba kujuzwa faida na hasara za mtu kuendeleza lugha ya kabila lake, ukizingatia watu siku hizi tunaoana makabila mchanganyiko. Je faida na hasara za kuendeleza lugha ya kabila lako ni zipi nawasilisha
Mie naona Kiswahili ni Bora kuliko makabila mchanganyikoLugha sahihi= fikra sahihi.mawasiliano yako ya kwanza duniani ulitumia lugha ipi?kama hujui mfano kikwenu unwezaje jua lugha nyingine vizuri.kiswahili kikushinde kweli utaweza kiingereza!Mie bado naamini ktk lugha ya mama.
Urithi.Umeeleza mambo mawili ubinafsi na ulithi, fafanua kuhusu ulithi
Chanzo cha habari ni nini faida,,Lugha ni urithi wa thamani sana mababu walituachia na tunaupoteza, kuoa mtu wa kabila linguine na wewe unataka watoto wajue lugha yako ni kama ubinafsi, wana pyschologia wanasema mtoto akizaliwa mpaka anafikisha miaka nane ana uwezo wa kushika lugha nane kwa ufasaha kabisa kama atafundishwa lugha hizo.
Mkuu mawazo yangu, lugha zote za kimataifa ni muhimu mtu kuzifahamu kwa ajili ya 1, ELIMU, 2, BIASHARA, 3, MAWASILIANO. Naona kujuzwa faida za lugha ya kabila lakoNgoja na wewe nikuulize kuna Faida gani ya kuendeleza kiswahili wakati kingereza kipo na kinazungumzwa Dunia nzima