Nini dhumuni la maisha?

Nini dhumuni la maisha?

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,397
Reaction score
19,323
1. Dhumini nini?

2. Maisha ni nini!?

3. Tunavyoishi kama binadanamu na kuamua maisha ya hichi yaishe mathalani kuku, mbuzi, mti, kuna yule anayeamua nasi tusitishiwe maisha na viumbe vyenye nguvu kuliko sisi kama tulivyo kwa tunayowaamulia? Inaweza kuwa na sisi ni mifugo yao.
 
Dhumuni la maisha ni kukubali na kuheshimu muda ulionao sasa.

Fanya leo yako iwe njema kwako na kwa wengine na sio kubweteka kufikiria maisha haya ni mapito na kuna mengine zaidi ya haya.
 
Back
Top Bottom