Nini dawa ya Rhematoid Arthritis? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

Discussion in 'JF Doctor' started by PALANGAVANU, Feb 26, 2011.

 1. P

  PALANGAVANU Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kwenye joints za miguu na mikono nilivyopima nikaambiwa nina ugonjwa unaoitwa rhematoid arthritis na nikaambiwa kuwa ugonjwa huu hauna tiba na sasa maumivu yanazidi, kila nikipata dawa hazinisaidii nishachoma sindano ya panedu lakini haikusaidia. je ugonjwa huu unasababishwa na nini? nitumie dawa gani? na hivi sasa macho yameanza kunisumbua je ni ugonjwa huu huu? naombeni ushauri wenu!!!!
   
 2. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana! Hiyo Penadur injection siyo tiba sahihi ya Rheumatoid Arthritis (RA)!!! ...Ni antibiotic; RA ni chanzo hakijulikani vizuri..lakini inasemeka inaweza kusababishwa na mwiliwako wenyewe kujishambulia...(auto-immune disease). Mara nyingi kama iko serious sana mtu huwa anaweza kuchomwa sindano za steroids kama prednisolone inj ili kupunguza kasi ya mwili wako kujishambulia (immune suppresion), kupunguza uvimbi (inflammation), na maumivu.....lakini mara nyingi matibabu yake huanza kwa kutumia dawa za maumivu kama, i) Paracetamol, halafu II) ibuprofen (au dawa nyingine za hii jamii kama diclofenac etc), mchanganyiko wa i) & ii), halafu pengine Methotrexate (dawa kali sana, kama ugonjwa umezidi kuongezeka, inatumika mara moja kwa wiki)..... kwa hiyo hamna tiba kama tiba ila ni jinsi ya ku manage symptoms...kukufanya uweze kuishi maisha ya kawaida, na kupunguza kasi ya uharibifu wa viungo vyako!!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Pole sana Palangavanu. Mini nilipata ugonjwa wa Blachial Plexus Injury iliyo kata mawasiliano yote kwenye mkono na badala yake napata maumivu makali wakati wote. Ni ugonjwa ambao hauna definite cure hivyo kukabiliwa na maumivu makali wakati wote. Pain killes za kila aina nimemaliza hadi oparation ya kuwekewa spinal cord stimulator ili kublock pain transmission nimefanya na bado haikusaidia kitu.

  Ushauri wangu ni jinsi tuu ya kupunguza maumivu na sio tiba.
  Kadri utakavyo kuwa unatumia pain killer utajikuta mwanzo zina relief kidogo mwili ukishazizoea maumivu ni pale pale hivyo kulazimika kutumia madawa makali zaidi ya maumivu ambayo side effect zake pia na kubwa zaidi.

  Tiba iliyonisaidia kupunguza makali ya maumivu ni tiba ya kisaikojia
  1. Kwanza ni acceptance, yaani appreciating the situation. Lazima uikubali hiyo hali kwamba imekukuta. Usijiulize sana kwa nini wewe na kuanza kumtafuta mchawi, bali jiaminishe huo ndio mpango wa Mungu kwa maisha yako.
  2. Pamoja na hali yako, jihesabu kuwa uu miongoni mwa watu wenye bahati just to be alive. Hebu wafikirie mamia wanaokufa kila siku bila kosa lolote. Wafikirie mamia wengine waliolazwa mahosipitalini wengine huku hawajiwezi na wengine ICU. Hivyo utajiona wewe una afadhali mara mia.
  3. Kitendo cha kukubali kwa moyo mmoja kunaifanya brain yako ifunge sense pain angalau wakati wa usiku utalala bila maumivu huku mwili ukianza kufanya self healing process and you never know miujiza ipo. Just keep your hopes high.

  I wish you, get well soon!
  Pasco.
  2a
   
 4. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Well said Papa Diana!! Everything you have stated is perfect!!
   
 5. F

  Fatma Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 25, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa maumivi upatayo kwa kweli I have z same problem nimemaliza dawa zote cjapata afueni Ila Kama una amini dawa za natural ni bora maana Mimi natumia mdalasini wa unga nusu kijiko cha chai changanya na asali safi weka Tia warm water nusu glass kunywa asyubuhi b4 hujala kitu chochote then baadae kunywa chai yako ya asubuhi na ucku b4 hujalala fanya tena utapata nafuu Mimi ndio dawa yangu kubwa Nina arthritis ya miguu mikono ganzi ndio dawa yangu kubwa siamini Tena dawa za hospitali.
   
 6. P

  PALANGAVANU Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  asante sana kwa maelezo yako je kuhusu haya maumivu ya macho pia yanasababishwa na huu ugonjwa? yanauma kama vile nimeingiwa na mchanga na wakati mwingine sioni vizuri kama vile kuna machozi.
   
 7. P

  PALANGAVANU Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asante sana PASCAL kwa kunitia moyo ni kwamba huu ugonjwa usha niathiri kisaikolojia hivyo nashindwa kufanya kazi ki ufasaha, kiakili huu ugonjwa umenichanganya pia viungo vinashindwa kufanya kazi kwa sababu ya maumivu na kazi yangu inahitaji nitumie nguvu ikiwa ni pamoja na kutembea sana.
   
 8. P

  PALANGAVANU Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asante Fatma nitatumia hiyo dawa
   
 9. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,893
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Pole sana ,nenda hospitali ya Lugalo kuna wataalamu hapo ! kuna ndugu yangu alitibiwa pale nakuhakikishia kwa mapenzi ya Mungu UTAPONA!
   
 10. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama hayo matatizo mawili yanahusiana, na inahitaji uchunguzi zaidi! Hospitali nzuri ya macho kwa Dar-es-Salaam (i presume you are in Dar), ni CCBRT....wao wana madaktari bingwa! Ni vizuri ungefika hapo haraka kwani maumivu yoyote kwenye macho nilazima yatafutiwe uvumbuzi haraka ilikuepuka madhara makubwa zaidi...
   
 11. mimi05

  mimi05 Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana Palangavanu, nilishaumwa hivyo pia ,maumivu ni makali mno na yanakosesha raha kabisa, hospital hakuna dawa ya kutibu.Ila huwezi kuamini mimi kwa sasa nimepona na sina maumivu tena, baada ya kuombewa na kumwomba Mungu.Namshukuru Mungu.Nakushauri umwombe mungu akuponye na kutokana na imani yako utapokea uponyaji mara moja.Nami nakuombea upone.Amen.
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  What is Rheumatoid Arthritis?

  Rheumatoid arthritis is an inflammatory condition that causes pain and swelling of the joints, especially the smaller joints of the hands and feet. It generally affects both sides of the body at the same time.

  Other symptoms of rheumatoid arthritis are:
  • Aching or stiffness of joints, especially after sleep or rest
  • Loss of motion in the affected joints
  • Decreased strength in the muscles attached to the affected joints
  • Fatigue
  • Low grade fever
  • Joint deformity over time
  • Small lumps, called rheumatoid nodules, that form under the skin
  Rheumatoid arthritis is believed to be an autoimmune disease, resulting in the immune system attacking tissues that lines joints.

  Natural Remedies for Rheumatoid Arthritis

  There is no known cure for rheumatoid arthritis. Alternative therapies are popular among people with rheumatoid arthritis, however, they should complement, not replace, conventional care. Here are some natural remedies that are used for rheumatoid arthritis.

  1) Omega-3 Fatty Acids

  Omega-3 fatty acids are a type of fat. Our bodies can't make omega-3s on their own, so we must obtain them through our diet.

  There is reasonably strong evidence that omega-3 fatty acids may help people with rheumatoid arthritis. The results of over 13 double-blind, placebo-controlled studies involving a total of more than 500 people suggest that omega-3 fatty acids may improve symptoms of rheumatoid arthritis. One of the ways it appears to work is by decreasing the production of inflammatory chemicals.

  Although omega-3 fatty acids reduce symptoms of rheumatoid arthritis, they don’t appear to slow the progression of the disease.

  Cold water fish such as salmon, sardines, and anchovies are the richest food source of omega-3 fatty acids. But instead of eating more fish which contain mercury, PCBs, and other chemicals, fish oil capsules are considered a cleaner source of omega-3 fatty acids. Many companies filter their fish oil so that these chemicals are removed.

  Fish oil capsules are sold in health food stores, drug stores, and online. Most brands should be stored in the fridge to prevent the oil from going rancid.

  Although flaxseed oil is often used as an alternative to fish oil, it doesn't appear to have the same anti-inflammatory effects as fish oil at achievable intakes.

  Fish oil capsules may interact with blood-thinning drugs such as warfarin and aspirin. Side effects may include indigestion and bleeding. Fish oil should not be taken two weeks before or after surgery. Fish oil can also cause a fishy aftertaste. To prevent this, fish oil is usually taken just before meals.

  2) Gamma-linolenic Acid

  Although there is more evidence that omega-3 fatty acids may improve symptoms of rhematoid arthrits, some studies suggest that gamma-linoleic acid, another type of essential fatty acid, may also help. It is found in borage oil, black currant seed oil, and evening primrose oils.

  A review of studies by researchers with the respected Cochrane Research Collaboration concluded that there was some potential benefit for the use of gamma-linolenic acid in rheumatoid arthritis, although further studies were needed.

  3) Boswellia

  Boswellia is a herb that comes from a tree native to India. The active ingredients are the boswellic acids, which have been found to block chemical reactions involved in inflammation.

  It is used by people with rheumatoid arthritis and other inflammatory conditions. Although there have been a couple of preliminary studies that suggest boswellia may reduce symptoms of rheumatoid arthritis, we need more research to know whether it's effective. There is also no evidence that it can slow disease progression like some conventional drugs for rheumatoid arthritis.

  Boswellia doesn't appear to cause gut irritation that can occur with many conventional pain relievers.

  Boswellia is available in pill form. It should say on the label that it is standardized to contain 60 percent boswellic acids. It should not be taken for more than eight to 12 weeks unless under the supervision of a qualified health practitioner.

  4) Devil's Claw

  Devil's claw is a plant native to southern Africa. Its name comes from the small hooks on the plant's fruit. The active ingredients in devil's claw are believed to be iridoid glycosides called harpagosides, which are found in the secondary root.

  Devil's claw has been used for thousands of years in Africa for fever, rheumatoid arthritis, skin conditions, and conditions involving the gallbladder, pancreas, stomach and kidneys.

  A study published in the journal Rheumatology compared a devil's claw extract providing 60 mg harpagosides a day and and 12.5 mg a day of the anti-inflammatory Vioxx (now off the market) for 6 weeks in 79 patients with an acute exacerbation of low back pain. Devil's claw was as effective as Vioxx in reducing pain.

  More studies, however, are needed before we can confirm that devil's claw is effective for rheumatoid arthritis. For more information about devil's claw
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Tumia Dawa hii kabla ya hujala kitu asubuhi kojowa mkojo wako kipimo cha Glasi moja unywe kila siku kwa Muda wa siku Saba itakusaidiakutibu hayo maradhi yako ya rhematoid arthritis
  By using urine therapy, you will get relief from many ailments. The ailments relieved due to urine therapy are multiple sclerosis, colitis, lupus, rheumatoid

  arthritis, cancer, hepatitis, hyperactivity, pancreatic insufficiency, psoriasis, eczema, diabetes; herpes, mono nucleosis, adrenal failure, and so many allergies are treated using urine therapy. Angalia hapa Faida ya mkojo wako Mwenyewe bonyeza hapa Urine Therapy – A Cure For Many Ailments!
   
 14. k

  kabasele Member

  #14
  Aug 10, 2015
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Mimi sio daktari ila najua arthritis inayoandamana na conjuctivitis (macho) inaitwa REACTIVE ARTHRITIS ila huwa inakuwa sio symmetrical (kuathiri pande 2 za mwili kwa pamoja) tofauti na RHEMATOID ARTHRITIS ambayo mara nyingi ni symetrical. Reactive arthritis husababishwa na bacterial infections (tumboni au kojoleo i.e gastrointenstinal or urogenital) japokuwa kuna wakati inaweza sababishwa na virus. Kama kabla ya kupata arthritis uliharisha ama kuwa na maumivu ya kojoleo au kutokwa na ute sehemu kwenye kojoleo, bila shaka hiyo itakuwa ni REACTIVE ARTHRITIS. Jiulize pia kama ulifanya ngono isiyo salama ndani ya mwezi kabla ya dalili. Najua ni siku nyingi sasa. Unaendeleaje?
   
Loading...