Nini dawa ya hili tatizo kwenye ngozi

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
5,927
2,000
Mwanzo nilifikiri ni allergies. Nikaacha kumpa baadhi ya chakula. Mazowa nyama na samaki lakini wapi. Nimempima mpaka ukoma japo hatuna historian ya kuwa na huo ugonjwa kwenye kizazi chetu.

Kashatumia dawa za Aina nyingi bila mafanikio. Ndio nikaona nije hapa labda naweza kupata ushauri na Tiba kabisa. Myoto Ana miaka mi3 Kwa Sasa.

IMG_20201015_100828_189.jpg
IMG_20201015_100820_510.jpg
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,231
2,000
Inaonekana kama eczema au pumu ya ngozi. Nenda kwa mtaalamu wa ngozi atakusaidia.
Sina hamu na wataalamu wetu hawa, picha ile ile ya Ultra sound, inatoa ma-hitimisho tofauti kwa watalaamu tofauti. Nina mgonjwa amepona kupigwa kisu baada ya kutafuta maoni mbali mbali na mwisho kudondokea kwa mzee mmoja anayesema yeye ndiye mwalimu wao pale Muhimbili, akiomba msamaha kwa ujinga wa wanafunzi wake.
 
nyakisese

Senior Member
May 3, 2020
101
250
Kama upo Dar es salaam nenda Kinondoni hosp hapo Kinondoni B kuna Dr anaitwa Dr kishengele ni mtaalamu wa magonjwa ya ngozi atakusaidia nami mtoto wangu alikuwa hivyo japo tiba ya muda mrefu usikate tamaa mtoto atapona
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
5,927
2,000
Mwanzo nilifikiri ni allergies. Nikaacha kumpa baadhi ya chakula. Mazowa nyama na samaki lakini wapi. Nimempima mpaka ukoma japo hatuna historian ya kuwa na huo ugonjwa kwenye kizazi chetu.

Kashatumia dawa za Aina nyingi bila mafanikio. Ndio nikaona nije hapa labda naweza kupata ushauri na Tiba kabisa. Myoto Ana miaka mi3 Kwa Sasa. View attachment 1600815 View attachment 1600817
Nashukuru kwa maelezo yako dada'ngu
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
5,927
2,000
Jaribu dawa ya asili ya kiarabu inaitwa (kibiti upele)
Matatizo ya ngozi huwa yanapona pole pole sana.
Shida na mahospitali yetu tanzania kukuta doctor wa matatizo ya ngozi imekua ngumu sana.
Shukrani mkuu kwa ushauri
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
5,927
2,000
Kama upo Dar es salaam nenda Kinondoni hosp hapo Kinondoni B kuna Dr anaitwa Dr kishengele ni mtaalamu wa magonjwa ya ngozi atakusaidia nami mtoto wangu alikuwa hivyo japo tiba ya muda mrefu usikate tamaa mtoto atapona
Bahati mbaya nipo mkoani. Shukrani lakini...
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,537
2,000
Pole sana hapo dawa Kwanza anahitaji apate Ya Kuchomwa either Hydrocortisone au Triamcinolone..!! Then aendelee na za vidonge na kupakaa. Za vidonge ni Prednsolone then upatr na Betamethasone cream ya kupakaaa.

PUMU YA NGOZI inatesa sana hiyo itakuwa ni allergy iliyosababishwa na kula kitu fulani hasa maziwa...nyama au samaki haiishi faster yani hata ukitumia dawa Zitasaidia kupunguza muwasho na uvimbe wa hivyo vipele lakini kupotea kabisa inachukua muda mrefu kiasi so asiache Kutumia dawaa kwa kudhani hazisaidii sababu matokoe yake huchelewaa sana tu. Poleni sana
 
Oooh ahsante kwa ushauri nzuri hakika nitalifanyia kazi hili. Ubarikiwe Sana...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom