Nini chimbuko la jina Basi Haya?

Nini chimbuko la jina Basi Haya?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,315
Pana eneo Dar es Salaam linaitwa Basi Haya. Nini historia/sababu ya jina hilo?
 
Maana yake ya neno "BASIHAYA" ni kukubali Jambo Fulani japo sio kupenda sanaa
 
Kuna mtu hapo alikuwa kigogo kwenye idara Fulani ni mtu wa Singida dc kwa hiyo hako kamtaa wanyaturu wengi sana na kigogo huyo hapo maeneo no kwake
Uhusiano wa maneno "Basi Haya" na Wanyaturu ni upi?
 
Inawezekana palikuwa na Mnyalu anaanguswa hapo

Ukiona nimenyamasa Basihaya niangusage ni sambi sako
Hahahah hiyo hapo kulikuwa na docho ya wanyaturu mzee. Basihaya ni neno moja.

Mhehe angesema niangusage Ila saaambi sako mwenyewe na sijavaa suupi dada ameenda nayo mnadani😃😃😃😃😃 maana yake umeshakuwa alerted kwamba amekubali
 
Back
Top Bottom