miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Akibadlka hata fourth year hatofkaSasa wale wa fourth year itakuaje?? [emoji53][emoji53][emoji53]
Umenena points mkuu...shukrani kwa hiliSababu kubwa ni uhuru ambao mtu anaupata,mfano umetokea mkoani na ulikuwa chin ya wazazi na sasa hv unakuja chuo dar huna ndugu wala mtu unayemfaham ina maana hakuna anaye kucontrol ni ww na nafsi yako,i mean unapata uhuru kwahyo yale maadili yte uliokuwa nayo yanapotea.
NB;Sio kila mtu anabadilika anavyopata uhuru
ExactlyEverything we do successfully is the result of our desire ukiamua kutobadilika hautobadilika na maisha yataenda
Ni qweli kabisatabia ya mtu na matafik wanaomznguka vinachangia ...kukosekana kwa msimamo
Shukrani sana mkuu nitayazingatia mahusia yakoKampani+lack of self control &determination+ushamba+boom+freedom.......etc
Yako mengi lakini cha msingi ni kujitambua tuu,pia msisahau kufanya ibada kulingana na imani zenu,ni muhimu sana!.