emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,096 Reaction score 1,607 Jun 21, 2026 #1 Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu". Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu". Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,941 Reaction score 15,098 Jun 21, 2026 #2 Huyo daktari ni wa mchongo, hakuna neno "mchafuko wa Damu".
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,096 Reaction score 1,607 Jun 21, 2026 Thread starter #3 Nyafwili said: Huyo daktari ni wa mchongo, hakuna neno "mchafuko wa Damu". Click to expand... Hospitali ya wilaya mkuu, na hii ni mara ya pili nakutwa na hili tatizo.
Nyafwili said: Huyo daktari ni wa mchongo, hakuna neno "mchafuko wa Damu". Click to expand... Hospitali ya wilaya mkuu, na hii ni mara ya pili nakutwa na hili tatizo.