Chimo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2008
- 714
- 364
Sio Siri tena mkuu wa mkoa mstaafu wa Kilimanjaro Mh.Said Meck Sadiq anajianda kuuva uwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza
Kwa mantiki hiyo Mwenyekiti wa sasa hivi Ndg. Anthony Diallo anajuwa kuwa kuna vuguvugu linaloendelea la kumg'oa kwenye uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni.
Yapo yanayosemwa kuwa mkuu picha haziendi na jamaa yake kipenzi aliyeahidiwa kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya kampeni kuwa hata muangusha kwenye serikali yake