REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
Wewe subiria kwenye uchaguzi wa madiwani tuwanyooshe tena sababu huwa mnajisahau sana.waruhusu mikutano ya kisiasa tuone ni kina nanani wachache,usilinganishe vitu ambavyo havipo.
Wewe subiria kwenye uchaguzi wa madiwani tuwanyooshe tena sababu huwa mnajisahau sana.waruhusu mikutano ya kisiasa tuone ni kina nanani wachache,usilinganishe vitu ambavyo havipo.
Wamefukuzwa kazi, wanaumia kumuona JPM anadunda tu. Ngoja 'watasubiri wee but where.'Hahaha sasa kama wewe akili yako ndivyo ilivyo hivi unadhani kila mtu naye yupo kama wewe, mapokezi ya Rais mikoani ni ishara tosha kuwapa message kwamba mpo wachache.
Mapokezi yapi mkuu? Haya ya kuwahonga boda boda hela ya kula na petrol lita tano au haya ya kufunga kazi watu wazurure mtaani ili mseme jamaa kapokewa na watu wengi!!!Imeshakula kule mkuuHahaha sasa kama wewe akili yako ndivyo ilivyo hivi unadhani kila mtu naye yupo kama wewe, mapokezi ya Rais mikoani ni ishara tosha kuwapa message kwamba mpo wachache.
Hakuna mtu mwenye akili aende mpokea magufuli hayupoMapokezi yapi mkuu? Haya ya kuwahonga boda boda hela ya kula na petrol lita tano au haya ya kufunga kazi watu wazurure mtaani ili mseme jamaa kapokewa na watu wengi!!!Imeshakula kule mkuu
Hahahahahaakikosa wa kugombana naye anaweza kuchukua hata kinyago akaanza kutukanana nacho
Usiseme mikoani Bali sema mikoa ya usukumaniHahaha sasa kama wewe akili yako ndivyo ilivyo hivi unadhani kila mtu naye yupo kama wewe, mapokezi ya Rais mikoani ni ishara tosha kuwapa message kwamba mpo wachache.
ananifu mpaka na "mama jei" by mange kimbambiusishangae hata wewe ana bifu nawe ingawa hakufaham......
Hata jambazi maarufu likitembezwa barabarani watu watajitokeza wengi kulishuhudia!Hahaha sasa kama wewe akili yako ndivyo ilivyo hivi unadhani kila mtu naye yupo kama wewe, mapokezi ya Rais mikoani ni ishara tosha kuwapa message kwamba mpo wachache.
Kuna mafisadi na wahujumu uchumi wetu kuwashinda Barrick Gold? Mbona amekaa kuongea nao na kuwaita Wanaume, Ndugu zetu nk?Ni kweli kabisa jamaa ana bifu na kila fisadi na muhujumu uchumi!
Hahaha sasa kama wewe akili yako ndivyo ilivyo hivi unadhani kila mtu naye yupo kama wewe, mapokezi ya Rais mikoani ni ishara tosha kuwapa message kwamba mpo wachache.