Nini cha kufanya ktk hili.

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Kuna thread iliwah kuletwa humu,bahat mbaya niliipoteza.kimsing inafanana na hii nataka kuwauliza..kuna rafiki yangu ana grfnd wake muda sasa wako nae.na ana mpango wa kumuoa kabisa kwa ninavyofahamu au kwa anavyoniambia..tatizo kamfuma anawasiliana na so calld mzaz mwemzie..kuna mwanaume alizaa nae takribani miaka sita imepita,baada ya kua anarud kalewa na kipigo kila cku aliondoka mwenyewe,hakupenda hiyo maisha.na mtoto kumwacha huko kwa baba yake.coz tayar alikua mkubwa..my best frnd ananiuliza afanyeje kukomesha hii mambo..?kwani anahc kwa mwendo huo kukawa bado na kupendana kat yao..nimeona nilete kwenu pia kuona nini cha maana kufanya.
 
Mkuu anawasiliana nae kivipi kimapenzi au kwa ajili ya kuulizia habari za mtoto
Kuachana na mtu sio uadui hasa kwa mtu ambaye tayari wana mtoto. Inawezekana mawasiliano yao ni mazuri ya kuulizia hali ya mtoto au mtoto ana matatizo ndo maana mama anawasiliana na mzazi mwenzake. Kama ni zaidi ya hapo kwa kweli ajiulize mara mbili mbili maana inawezekana waliachana na mzazi mwenzake ila bado wanapendana.
 
Back
Top Bottom