mussamoses14
Member
- Aug 14, 2017
- 6
- 1
Nashkuru kwa mchango wako kiongoziGari yoyote ukinunuwa ikiwa used lazima ujiridhishe wewe mwenyewe kwa kuifanyia full service hujui yule aliyokuwa anaitumia aliitumiaje na service alifanya lini. Hapo na matairi jipange kuweka mapya yote. Labda na shocks kama hazina hali nzuri na zinakuwaga za umeme hizo.
Nimekuelewa vizuri kiongozi, thanks a lot for infoactually inategemea na sehemu uliponunua gari yako, now days kuna service 'inspections fee' ukilipia linafanyiwa check up zote na inajazwa card ambayo ilitakiwa utumiwe kabla ya gari kuja kujiridhisha!
otherwise better likifika mtafute fundi afanyie check up kwani its very easy and simple (within 20 minutes) anaweza jua conditions ya fluids zote, matairi its simple anaangalia pembeni atajua namba na expire date.
by the way most time magari yakija 90% yankauwa okey for use na kama lina any fault huwa wana specify problem before
Nashkuru Mkuu , ntafanyia kazi ushaur wakoNina kaujuz kidogo, maana nimeshaagiza gari zaidi ya mara 3, sikia sasa ikifika tu badilisha engine oil (weka BP Oil) (recommended) , Gear box oil sio muhimu sana kubadilisha ila fundi anaweza akacheki akakuambia, cheki betri kama bado liko poa na matairi,nadhan hvyo ndo vya msingi..ila hongera maana mark X wese lake sio kitoto, zinaingia passo kama 8 hv humo kwenye mark x
Nashkuru Mkuu , but one more question; hiyo FULL SERVICE inacover niniLIFANYIE DIAGNOSIS KWANZA, THEN PIGA FULL SERVICE,,,HOPE CHENJI BADO IPO. THEN BAADA YA HAPO IPE MASAFA MAREFU KAMA KILOMETA 800 HIVI AU ZAIDI KWENYE LAMI. BAADA YA HAPO PITA ROUGH ROAD KIDOGO UJUWE UBORA WA SHOCK UPS. THEN TUWE TUNAKUTANA SHELI
OIL, BRAKE,AIR CLEANER. VYOTE HIVYO FANYIA SERVICENashkuru Mkuu , but one more question; hiyo FULL SERVICE inacover nini
ThanksOIL, BRAKE,AIR CLEANER. VYOTE HIVYO FANYIA SERVICE
Nina kaujuz kidogo, maana nimeshaagiza gari zaidi ya mara 3, sikia sasa ikifika tu badilisha engine oil (weka BP Oil) (recommended) , Gear box oil sio muhimu sana kubadilisha ila fundi anaweza akacheki akakuambia, cheki betri kama bado liko poa na matairi,nadhan hvyo ndo vya msingi..ila hongera maana mark X wese lake sio kitoto, zinaingia passo kama 8 hv humo kwenye mark x
Tuseme tukiwaona wenye Mark X tuwape shikamoo!mark X wese lake sio kitoto, zinaingia passo kama 8 hv humo kwenye mark x
hata mm najiulizaTuseme tukiwaona wenye Mark X tuwape shikamoo!
Kwanza tutake radhi wenye passo zetu ila bado najiuliza passo zinaingiaje 8 kwenye mark x tena ya mwaka 2015Nina kaujuz kidogo, maana nimeshaagiza gari zaidi ya mara 3, sikia sasa ikifika tu badilisha engine oil (weka BP Oil) (recommended) , Gear box oil sio muhimu sana kubadilisha ila fundi anaweza akacheki akakuambia, cheki betri kama bado liko poa na matairi,nadhan hvyo ndo vya msingi..ila hongera maana mark X wese lake sio kitoto, zinaingia passo kama 8 hv humo kwenye mark x