Mlulajr
Member
- Mar 21, 2015
- 80
- 49
Habari za wakati huu ndugu zangu, Leo nmekuja kwenu nikijaribu kuhoji athari za social medias katika maendeleo ya vijana. Tumeona faida nyingi 2 za Social Media (Mitandao ya kijamii) Ila leo nngependa 2angalie upande wa pili wa athari za mitandao ya kijamii katika maendeleo ya vijana. Je zipi ni athari za Social Media?