Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Style yake sio kabisa....anaimba kiboss boss sana hata hashawishi kabisa.
Nyimbo zake nyingi zinatazamika tu ila audio zake hazisisimui kwakweli. Ila kwenye touch me kajitahidi
Kwenye u heard ya Clouds leo wamemuuliza kama anamla Siti Mtemvu maana wameonekana beach fulani wakila maselfie ya ukweli na Siti Mtemvu lakini kawachomolea na kuwaambia yeye yupo single na hajakaa wala kusimama kwa demu yoyote.
Hii nini maana yake? Maana yake hata kama ana project zake binafsi ni mambo yake private.
Kuna watu na akili zao mpaka leo hawajui kwa imani zote kwamba kuzini ni dhambi sasa wanalazimisha kila mtu awe bize kusifia uzinzi.
hahahaha nimeisikia jamaa amekana jumla hataki kupakwa shombo la kashfa. watu watashangaa AY anaweza kuwepo kwenye gemu miaka 15 ijayo labda aamue mwenyewe kuacha
AY ana mafanikio mengi sana sema hayatangazi kwa maana anafanya ishu zake kizungu. wale wa uswazi take away hata wakinunua redio mtaa mzima unafungwa. Mafanikio ni mtu kuita watu wakampokee airport kwa maandamano? ni kupanga nyumba ya kawaida sinza mmejibana ukoo mzima including mama na dada zako?
tofauti ya AY ni ukimya hatangazi. juzi tu amefanya collabo na sean kingston kitu kinapigwa majuu. ingekuwa yule uswazi takeaway na team yake amefanya hili basi angetangaza dunia nzima.
Tatizo nyota
Basi amekoma, shhda ya JF watt wanakariri sana wanadhani kila mtu yupo kwenye stress kama yeye.
Kwenye u heard ya Clouds leo wamemuuliza kama anamla Siti Mtemvu maana wameonekana beach fulani wakila maselfie ya ukweli na Siti Mtemvu lakini kawachomolea na kuwaambia yeye yupo single na hajakaa wala kusimama kwa demu yoyote.
Hii nini maana yake? Maana yake hata kama ana project zake binafsi ni mambo yake private.
Kuna watu na akili zao mpaka leo hawajui kwa imani zote kwamba kuzini ni dhambi sasa wanalazimisha kila mtu awe bize kusifia uzinzi.
Style yake sio kabisa....anaimba kiboss boss sana hata hashawishi kabisa.
Nyimbo zake nyingi zinatazamika tu ila audio zake hazisisimui kwakweli. Ila kwenye touch me kajitahidi
AY is selfish, na atabaki kuwa hivyo.. Na hayo mafanikio yake mnayaona watu wenye uwezo wa macho ya kichawi.
Hivi wewe ulikuwa unajuwa kama Mkasi ni project ya AY? kama kuwa na big vision ndio macho ya kichawi basi mimi ni gagura kabisa.
Huh..! Mkasi is just a mere tv show.. Jay dee ana show yake , Wema ana show yake.
Come again.
Kwenye u heard ya Clouds leo wamemuuliza kama anamla Siti Mtemvu maana wameonekana beach fulani wakila maselfie ya ukweli na Siti Mtemvu lakini kawachomolea na kuwaambia yeye yupo single na hajakaa wala kusimama kwa demu yoyote.
Hii nini maana yake? Maana yake hata kama ana project zake binafsi ni mambo yake private.
Kuna watu na akili zao mpaka leo hawajui kwa imani zote kwamba kuzini ni dhambi sasa wanalazimisha kila mtu awe bize kusifia uzinzi.
Kudanganya sio dhambi ee?Maana ukisema uko single wakati si kweli it means ni mwongo
Unakula bure n kulala bure ?Bilashaka wewe ni mfungwa

Sijui tu inakuaje ila mimi kama mimi sijawahi kupenda wimbo wake hata mmoja
Aya mla milungi na wewe katafute babu ulaya kama shosti ako, ila uvumilie akichoka anampa na mbwa wake afaidi.
Hahahahahahaha mnatamani kutujua ila bahati mbaya JF watu wanaingia kwa anony. Mnatamani saaaaaaana hadi mnatuprovoke tukiwaambia ukweli mnaukataa....! Ukweli hatuwezi kuwa the same, unaruhusiwa kuwaza lolote kuhusu mtu lakini kumbuka si kazima yawe sahihi. Goday