Iweje mimba kutoingia kwa kutumia dawa au kondomu iwe uuaji! Kumbuka kinachokufa hapa ni mbegu.
Nimejaribu kutafakari kuhusu tendo la ndoa, ukiachilia kufanya tendo la ndoa kwasabab za kupata watoto, je kufanya tendo hilo kwasabab za kujifurahisha ni sahihi? Kwa sisi wakatoliki tunasema hata kutumia kondomu na vidonge vya uzazi wa mpango ni dhambi! Kwasabab gani? Ikiwa nataka kufanya tendo Hilo bila ya kuwa na lengo la kupata mtoto kwann isiwe dhambi Kwan nitakuwa nafanya uharibifu ule ule wa kupoteza mbegu! Kwa ndugu zangu waislamu sijui upande wao inasemaje, asanteni.

Una amini kutoka wapi? Watu8 kwenye maandiko au mawazo yako binafsi?
yani hapo kanisa wabadilishe tu
maana tusipotumia huo uzazi wa mpango
c tutatotoa kama kuku
Nimepata andiko linalo ruhusu sex for pleasure, 1 Corinthians 7:3-5, ila sielewi kwann wana ndoa wasitumie kondomu ikiwa hawana lengo la kupata mtoto, hii sheria nafikiri ibadilishwe.
hili somo nimepata sifuri hivi hivi najiona, mweeeee!Ngoja tuwapishe wakatoliki mdiskasi kulingana na mafunzo yenu...
Binafsi naamini sex iliwekwa kwa ajili ya wanandoa kwa purpose ya uzazi na pleasure...