Ningependa kuona website

Kila la kheir mkuu, naona inawezekana kabisa maana elimu ni elimu tuu.
Ukizingatia changamoto za afya ni nyingi ,pia wengine hawajijui kama ni waathirika wa magonjwa ya akili
 
Watu wenye matatizo ya ajili hata wakiandika dawa au solution ya jambo flani siwezi kuwaamini
 
Asante mkuu,sijui nitapata wapi mawasiliano ya Wizara ya Afya,as nahitaji ethical clearance yao..nimejaribu kutuma inquiry kwenye website yao sijajibiwa..mm🙄
 
Yaani mpaka umeenda kumuona akupe dawa,sio bure na wewe utakua na matatizo..
 
Asante mkuu,sijui nitapata wapi mawasiliano ya Wizara ya Afya,as nahitaji ethical clearance yao..nimejaribu kutuma inquiry kwenye website yao sijajibiwa..mm🙄
Ethical clearance kivipi? Hapo nadhani cha muhimu unaweza kuwa na katimu kako ka maspecialist wa magonjwa hayo.ambao utapata kujua mengi kuhusu idea yako
 
Naunga mkono hoja, maana inasemekana katika watanzania kumi wanne wana matatizo ya akili halafu hawajifahamu.
 
Ethical clearance kivipi? Hapo nadhani cha muhimu unaweza kuwa na katimu kako ka maspecialist wa magonjwa hayo.ambao utapata kujua mengi kuhusu idea yako

Mkuu sijui taratibu zikoje hapo Tanzania...but I assume kama unataka kuongea na wanaoumwa (sio acute) Muhimbili lazima uwe na kibali??….ningependa kuongea na wote wanaoumwa,familia zao,pamoja na wauguzi...lol
 
Sasa dear, kama upo mjini dasilamu hapo kwanini usiende moja kwa moja ukaonana nao
 
Hello JF,

Natumaini wote mko powa...

Ningependa itengenezwe website/App..

Kwa watu wenye matatizo ya akili..

Wao na wanaowatunza..kushare their experieces..na kupata access to treatment...

Mnaonaje hii idea..?
Nitaitengeneza ila sharti wewe ndio uwe Admin wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…