hahah Manengelo unapenda utani sana...mwenzio niko siriaz
Becky vipi kuna shida pahali??? Mana hizi wiki mbili hizi mmh,umeanzisha nyuzi kibao kuhusu matatizo ya akili.
Are u okay mama?
Bado sijajua...ili iwaje!?yaan uone vituko walivyufanya ww itakusaidia nm
[emoji23][emoji23] unapozungumzia matatizo ya akili kila mtu anafikiria vichaa tuu
Manengelo….wenye matatizo ya akili waki share experiences zao,ni hapo ndio tutajua tunawasaidiaje...na pia itakua comfort kuona kumbe kuna wengine washawahi ku experience unayopitia...kwa hio itakua kama relief hivi
Wazo zuri , vipi hiyo app itakua na features gani ambapo unadhani vinaweza kuwa msaada kwa mtu ama mwenye mgonjwa ?
Pole lov..hop uko sawa...!..nadhn haya magonjwa yanatukumba wengi sana sema tunapotezeaNdio nilishawahi ku experience hii kitu..
Ooh kumbe ni hivyo. Thats goodNiko okay my dada,hakuna shida yoyote nilitaka tu kujua mawazo ya watu kuhusu matatizo ya akili...especially wale wenye ugonjwa au ndugu wanaowaangalia and see how best we can support them...