Watu wana hela za kuchezea yani sijui ni hesabu ndio hawazijuiAda inazidi Ya chuo kikuu..
Mzazi kula urefu wa kamba yako
Kayumba sio Shule .Duh watu mna hela za kuchezea kweli. Ada milioni 4 duh? Ili iwe nini?
Kayumba kibao zimejaa anasoma bure kama una uwezo huo wa milioni nne kwa mwaka, tenga robo yake mnunulie vitabu na programs za ziada, atatusua
Bali?Kayumba sio Shule .