Ningeomba Hii iwafikie Woote...

Keepads s na x zinakaribiana pia a sasa ikigonga x watu huacha tu kuokoa mda ndio maana utakuta badala ya mama itasoma msms
 
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Xawa tumexikia tutajirekebixha mapema xana. . Natania tu, usije nuna
bureee. Mie binafsi sipendi mtu afupishe maneno huwa nakereka sana. Tabia hiyo waachiwe watoto wanaosumbuliwa na balehe
 
Back
Top Bottom