Ningeoa asubuhi hii lazima ningebust

Ningeoa asubuhi hii lazima ningebust

Hata ungeoa
Kama angeamka yupo siku zake bado ungeteseka tu
La msingi mwanaume unatakiwa uwe ume diversify resources
Uwe na huyo wa mbali na mwingine w karibu kazi ziende🙅🏾
Hahaha Wewe pia ulikuwa umewekeza wakati unaleta uzi wako kuhusu kugongewa mke?
 
Leo nimeamka mshedede ukiwa na hasira moja matata ,yaani kitu kiko konk mpaka nashindwa kuamua nitumia njia ipi kuipiga chini itulie,

Sijaoa bado japo nina mpenzi lakini yuko mbali, siwezi kumwita Asubuhi hii ataona niko nae tu kwa sababu ya sex,

Natamani ningeoa leo lazima ningebust tu nisingekubali Asubuhi hii ipite hivi hivi aseeee,

Waungwani huwa mnatumia njia ipi mkiamka na hangover ya kuimisi papuchi.

Hakuna wanawake jirani hapo?
 
Ko ww unashangaa kuamka mkuyenge umesimama?? mbona n kawaida kwa mtu lijali hiyo n daily? NB; sio kila mda mkuyenge ukisimama unahitaji mbunye ,wakat mwingne inajinyoosha tuu,
 
Back
Top Bottom