Ningeoa asubuhi hii lazima ningebust

Ningeoa asubuhi hii lazima ningebust

Gf wako unashindwa kumuita, eti sababu ataona uko nae kwa sababu ya sex?!?!? Mhh mabubwa.... Call her mwambie you need her. Unless huwa hamuishi kwa communicate vizuri na kutimiziana needs zenu nje ya sex ndomana unajistukia.... As for me mfano... Nataka mwanaume wangu aniite aniambie aseme kila anacho feel... That's a reason mko wote. Kujaliana....of course sio kwenye ku*** tuu, but it is a part and parcel ya mahusiano.
Ooouh.
 
Ukikua mkubwa pakikucha unawaza kazi, ada za watoto, mshahara wa house garl, chakula cha familia, matibabu ya baba mkwe, kodi ya ardhi, vita Sudani huko, wakulima na korosho zao, etc! Utajua tu kwanini tuliooa tukiamka nyumbani hapakaliki wala dushe halisimami kizembe zembe muda wa mambo ya msingi
........Noma sana mwanangu!!!
 
Jana tu nimetoka kumla,Asubuhi hii tena nimcall her for sex what kind of love is,sawa ni wajibu wake lakini muda mwingine tunajishitukia siyo kwamba atazingua ila vile tunasoma mawazo yake yatakavyokuwa
Hapo ndo umuhimu wa mwanaume kuwa na wake wawili hadi wanne unapokuwa.
 
Kule kwetu Kondoa hali hii inaitwa Kididimankanga.
 
Back
Top Bottom