Alcohol is the source of all e evils.
Shetani amemuweza binadamu kwa vitu viwili : pombe na wanawake
We endelea kunywa maji mkuu...hivyo ndivyo unavyo amini na inakua hivyo, wengine tumezaliwa hatunaga hiyo aibu unayo isema. Alafu hiyo pombe inawafaa wanywe watu maskini na watu wenye mawazo yanayo wakosesha furaha. waache wanywe pombe ili wasahau umaskini au huzuni waliyonayo. Mfalme hataki kutumia pombe, mtawala hatakiwi kutumia pombe, kiongozi hatakiwi kutumia pombe, asinywe pombe ili asije akaisahau sheria na kuipotosha. Unasema ukichangamka unakua huna aibu, unapata na ujasiri wa kujitongozea bamedi mwenyewe HIV, pole yako. Acha Sisi wafalme tuendelee kunywa maji yetu.
Tunatofautiana....ts human natureBinafsi nashukuru na Nina furahi sana jinsi nilivyoumbwa mana Nina confidence kuliko yako na bila ya kulewa. Enzi nikiwa chuo naongea na watoto mpaka wananiuliza hivi ulikuwa unanijua before. Na ninashusha English mpaka wananiuliza hivi wewe ni mtz na huku nimepita kayumba mwanzo mpaka mwisho Wa elimu.
Yaani nikiamuaga kitu nakifanyaga aibu kwangu haina effects kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kingereza kinapanda Hadi unajikuta Genius dahBinafsi nashukuru na Nina furahi sana jinsi nilivyoumbwa mana Nina confidence kuliko yako na bila ya kulewa. Enzi nikiwa chuo naongea na watoto mpaka wananiuliza hivi ulikuwa unanijua before. Na ninashusha English mpaka wananiuliza hivi wewe ni mtz na huku nimepita kayumba mwanzo mpaka mwisho Wa elimu.
Yaani nikiamuaga kitu nakifanyaga aibu kwangu haina effects kabisa.
Nimeshawishika next week nina presentation chuo sijui nijitwike kinywaji gani? Nipate confidenceTunatofautiana....ts human nature
Mkuu siku pombe itakapokuchezesha ukaharibu na hyo kazi uje utupe mrejeshoYaan
1. Financialy
2. Sexual relationshps
3. Frontiers
4. Fame
5. Etc etc etc
Utajiuliza naongelea nini..
Well........ni alcohol
Nmegundua alcohol.....I mean...responsible calculated alcohol drinking
Yaan usilewe..but stay high..tipsy...
Uchangamke..uwe agressive..usiogope kitu....
Inasaidia sana kwenye maisha..
Kupata confidence kwenye kufanya maamuz muhimu ya kimaendeleo
Hata sometime watoto wakali ambao unahisi huwezi hata wa approach.. unajishangaa tu umeruka na stori umeanzisha..no aibu no nothing
Last week nmepresent proposal flan..kwenye kampun flan...hata kama sitopata ila ile presentation ilikua mpaka nimewa overwhelm...yaani wakawa hawana la kusema tena... mmoja kanipigia privately leo anataka kesho kabla sjaenda tena tuonane nae. Nadhani anataka uswahili wa 10 percent..sijui...ila kiukwel alcohol ilisaidia sana...
Tahadhari....USILEWE..uwe tipsy..yaani uchangamke tuu
Alhamis nilikua pale slow leopard Masaki...najipongeza...kuna mtoto m1 ana rangi ya ajabu nikajishangaa tume click tuu from nowhere...
Yote ni nguvu ya alcohol....
Sio kwamba nilikua sinywi..no nilikuwa nakunywa napitiliza hiyo threashold ya kuwa tipsy...so now nmeimasta aiseee inanipa ma confidence yani mpaka naona kama i wasted my time not knowing it.
Uzi tayar...(zingatia..usilewe)
Nmegundua y wazungu wanatumia sana hizo mambo hata maofisini mwao utakuta scotch iko pembeni, anashtua kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kingereza kinapanda Hadi unajikuta Genius dah