Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Yaan
1. Financialy
2. Sexual relationshps
3. Frontiers
4. Fame
5. Etc etc etc
Utajiuliza naongelea nini..
Well........ni alcohol
Nmegundua alcohol.....I mean...responsible calculated alcohol drinking
Yaan usilewe..but stay high..tipsy...
Uchangamke..uwe agressive..usiogope kitu....
Inasaidia sana kwenye maisha..
Kupata confidence kwenye kufanya maamuz muhimu ya kimaendeleo
Hata sometime watoto wakali ambao unahisi huwezi hata wa approach.. unajishangaa tu umeruka na stori umeanzisha..no aibu no nothing
Last week nmepresent proposal flan..kwenye kampun flan...hata kama sitopata ila ile presentation ilikua mpaka nimewa overwhelm...yaani wakawa hawana la kusema tena... mmoja kanipigia privately leo anataka kesho kabla sjaenda tena tuonane nae. Nadhani anataka uswahili wa 10 percent..sijui...ila kiukwel alcohol ilisaidia sana...
Tahadhari....USILEWE..uwe tipsy..yaani uchangamke tuu
Alhamis nilikua pale slow leopard Masaki...najipongeza...kuna mtoto m1 ana rangi ya ajabu nikajishangaa tume click tuu from nowhere...
Yote ni nguvu ya alcohol....
Sio kwamba nilikua sinywi..no nilikuwa nakunywa napitiliza hiyo threashold ya kuwa tipsy...so now nmeimasta aiseee inanipa ma confidence yani mpaka naona kama i wasted my time not knowing it.
Uzi tayar...(zingatia..usilewe)
Nmegundua y wazungu wanatumia sana hizo mambo hata maofisini mwao utakuta scotch iko pembeni, anashtua kidogo.